Which organisations, hujaeleweka mkuu.
 
Watu aina ya General Mwakibolwa ndio tafsir halisi ya kamanda, sio makamanda wengine unaanza kazi mpaka unastaafu litambi kama pipa hujawahi ongoza operation yyte.
Mwakibolwa alikuwa kamanda mtemi sana. Tanzania tunahitaji akina Mwakibolwa wengi sana jeshini kwetu.

General Mwakibolwa aliporudi alipandishwa kuwa Chief of Staff, na wakati anastaafu nafasi yake ilichukuliwa na General Mohammed ambaye sasa ni Balozi wa Uturuki. Katika kumuasa Mohammed, alimwambia mbele hya Magufuli kuwa "Nakujua wewe ni mtu mpole sana, ila sasa kwa nafasi hii uliyopo kama Cheif of Staff unatakiwa ume mkali, siyo kumbembeleza mtu yeyote. Viongozi wote pamoja Magufuli waliangua kicheko sana. Msikilize hapa kuazia dakika ya 35:30


View: https://www.youtube.com/watch?v=uhKcYlFVN_w
 
Sasa yote hayo mkuu umeyaelezea hilo la kujua kustaafu Mwakibolwa imeshindikana? Okay alistaafu akiwa Luteni Jenerali na akiwa Mnadhimu mkuu wa jeshi.
 
Sasa yote hayo mkuu umeyaelezea hilo la kujua kustaafu Mwakibolwa imeshindikana? Okay alistaafu akiwa Luteni Jenerali na akiwa Mnadhimu mkuu wa jeshi.
You are very clever, nafahamu alistaafu ila kuna kitu nilitaka kukichokoza hapa jukwaani. Nilidhani, Mwakiborwa pamoja na kustaafu anaweza kuwa kwa namna moja ama nyingine kuwepo jeshini kipindi hiki cha mission kufanya consultation ktk hii mission hivyo nilitaka mtu anidhibitishie.

Ni kweli afande alistaafu ila
tulitarajia angepanda cheo na kuhudumu sana jeshini lakini haikuwa hivyo nafkiri umri ulimtupa. Na JPM bila hiyana akaridhia astaafu.
 
Watajuana wenyewe mikatili hiyo, sisi tupo bize na ndugu zetu wapalestina
 
Sio M23 sema Kagame.... Anatoa onyo sitaki kupigana na Tz watu wangu wa damu mliotutunza....
 
Nimesoma mada na nimejaribu kusoma post nyingi, Kama sio zote na nimeamua kidogo niandike!

Kushinda pambano 'winning a battle' sio mkakati..ni mkakati yes lakini, winning a war ni mkakati zaidi, lakini hata huo sio mkakati....spoils of the war ndio mkakati..
Yaani kugawana kile kinachotokana na vita..
Kuna mifano alfu lela hulela ningeweza kuleta hapa ..

Lakini, vividly, kwa muonekano tu, either hatuna conclusive plan na action za TPDF Congo au hatuna foreign policy, specifically focused on Congo.
Kidogo naijua TPDF na action zake all around...

Ila kwa Congo, kwanini hatushindi vita?
Kuna Brigedia anataja humu Sana, alipiga Sana ni kweli.. na Mimi nilienda kipindi hicho eastern Congo Kama mtalii, kweli alipiga..

Lakini matokeo yake yalikuwa nini?
Siwezi kisema kila kitu hapa ila kwa Congo tujitafakari

Binafsi nashauri!
Tusipigane tu! Tupigane ila baada ya mapigano tuwe na control na maeneo tulioyachukua..
Tuwe na watu wanaya 'police'..

Tuicomboe Congo, of which tunaweza tukiingia kwenye good deals na Congo na UN

Tupeleke vijana waelekeze jinsi ya kuweka usalama.
Tukae Congo Kama miaka ishirini halafu tutoke...
Watakua taifa na tutakuwa na faida..

Kupanga ni kuchagua,
Kudeal na Mr. Slim na M7
Au kuwakacha kimkakati na kuangalia picha kubwa!!
 
Nakupongeza, komenti yako imeniongezea kitu. Inaonekana Utalii ulioufanya uliufanya kwa umakini mkubwa.
 
Thubutu, FARDC, FDRL, WAGNER, MAIMAI, Burundian Forces, Black water na SADC hoi bin taaban πŸ˜€. Number M ya leo ni moto wa kuotea mbali.
We jidanganye,hao M23 wameuawa wengi tu hadi sasa.
Na pona pona yao ni kwamba wanaoratibu shughuli za peacekeeping hapo bado ni hao jeshi la UNAMID,ila hao wakiondoka mamlaka yote yakabaki kwa SAMIDRC mtaelewa kuwa hamuelewi.
Tulieni mlelewe kipindi hiki mpaka hilo jeshi la UN liki withdraw.
Halafu muwashiwe moto wa ushuzi/gesi.
 
Wali
Walichofanywa juzi hapo:

View: https://x.com/fbuyobe/status/1802948524423664107?t=Y_05R1YTZkXFIXuKsab66w&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…