Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Unasema wakristo wafuate mila ya mama yake mariam?
Mariam mama yake Yesu pia alikuwa na mila ya kupanda Punda.
Kwa hiyo na sisi leo tupande Punda?

Hivi nyie watu mbona mna reasoning za kijinga sana?
 
Unasema wakristo wafuate mila ya mama yake mariam?
Mariam mama yake Yesu pia alikuwa na mila ya kupanda Punda.
Kwa hiyo na sisi leo tupande Punda?

Hivi nyie watu mbona mna reasoning za kijinga sana?
Wakati huo punda sasa panda gari, ndege, baiskeli na nk na jambo hili bado halijakuwa na madhara lakini ikibidi kuleta madhara sharia zipo., lakini hijab sijambo linalopitwa na wakati ni jambo ambalo sharia ya kiislamu imelitaja hivyo hakuna budi kutekeleza sharia
 
Elimu iliongezeka upuuzi wa sheria za dini watu wanaona ni scam
 
Kati ya uliowatongoza na waliokutongoza wepi wengi!?..na wanaume wangapi wanetongozwa na wanawake!?...dini ya mchongo kwa sababu ya hijabu!!?..mama yake yesu akivaaje!?..Nina hakika hakuvaa sketi na blauz,akivaaje?!
Mama yake Yesu alivaa nguo ZA UTAMADUNI WA KWAO KWA WAKATI ULE Alioishi.

Mama Yake Yesu angekuwa Mmasai angevaa Lubega.

Yaani unataka watu wavae nguo za utamaduni wa watu walioishi mashariki ya kati miaka 2000 iliyopita?

Hivi mbona reasoning yenu ni ya chini hivi?
 
Hapo Marekani na Israel lazima wapenyeze majasusi wao kuchochea vurugu
Inaweza kua ni moja kati ya kazi zao, na zimezaa matunda. Hapo kilichobaki ni kumaliza kazi na kuikalisha kimya kabisa iran
 
Unaona Unavyojichanganya!!!
Unasema wakristo wafuate mila ya mama yake Yesu(kujifunika kichwa).


Kwa hiyo mila ya kupanda Punda (ambayo mama yake Yesu alikuwa nayo) tuiache ila ya kujifunika kichwa ndio tuifuate??
 
Unaona Unavyojichanganya!!!
Unasema wakristo wafuate mila ya mama yake Yesu(kujifunika kichwa).


Kwa hiyo mila ya kupanda Punda (ambayo mama yake Yesu alikuwa nayo) tuiache ila ya kujifunika kichwa ndio tuifuate??
Mkuu tumesema kichwa wazi kwa mwanamke kuna madhara, si ndo nyie mnatunga sheria watu waache kubaka sasa mambo yanayochochea kubaka ni pamoja na hizo hijab kutovaliwa kwa wanawake ili kuepusha matamanio
 
Wajanja wanalazimisha watu wafuate taratibu na tamaduni zao kupitia dini..kumbe upuuzi mtupu.

Leo hii unakuta jitu jeusi kama mkaa lina majina ya kiarabu au ya kizungu huu ni upuuzi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Inaweza kua ni moja kati ya kazi zao, na zimezaa matunda. Hapo kilichobaki ni kumaliza kazi na kuikalisha kimya kabisa iran
Sio rahisi kihivyo. Iran wapo vizuri. Sio Mara ya kwanza machafuko kutokea
 
Kwa ni nini kwenye ukristo haitokei mtu kulazimishwa kufuata sheria zake wakati ukristo umetokea mashariki ya kati na kuenea kwenye mataifa mengi ulimwenguni? Kuna mataifa yana wakristo wengi tena dhehebu moja ndio wengi zaidi lakini hakuna raia anayelazimishwa kufuata sheria za kanisa. Iweje mataifa yanayojinasibu kuongozwa na sharia za kiislam yanakuwa chanzo cha uvunjifu wa haki za binadamu duniani? Kila binadamu ana uhuru wa kuamini na kuabudu dini anayoiamini ina Mungu wake bila kulazimishwa kuabudu miungu asiyoiamini
 
Nilisoma kitabu kinaitwa Arabian Sends kimeandikwa na Alfred Thesiger, ni kitabu kizuri sana. Nilichogundua watu wanachanganya tamaduni za asili na dini, chiki binafsi wanazifanya kuwa ndiyo mafundisho ya dini. Lakini vile vile tukumbuke kuna mafundisho ya dini ambayo yanatokana na utamaduni asilia wa mahali zilikotoka hizi dini lakini kimsingi hayana faida yoyote kiroho. Akili za kawaida tu zitujibu, hivi mwanamke kutofunika kichwa inaweza mfanya asiende peponi? Jibu ni kwamba haiwezekani kwa sababu Mungu hawezi kuwa na masharti ya namna hiyo, ila tu ni utamaduni wa watu wa mashariki ya kati kama ilivyo kuvaa kanzu. Ndiyo maana ukienda Tunisia, Egypt, Turkey etc pamoja hayo mambo hayapo
 
Alitokea Benito Musolin kutaka kuwalazimisha Waitaliano kufuata sheria za kikatoliki lakini viongozi wa kikatoliki wenyewe ndio walikuwa wa kwanza kimpinga. Walimpinga kwasababu huko nyuma wakati dini ndiyo serikali na serikali ndiyo dini kanisa liliyumba mno na lilitaka kuanguka.
 
Huu ndio ukweli tunako elekea watu wata zidi ku question uwepo wa dini hizi tulizozikuta. Mfano ukristo na uislam.

Wataenda mbali na kwa kuquestion uwepo wake yeye muumba.
Jee sayansi ikijibu maswal yoote magumu ya mwanadamu kwa mf kufa kutakuwa na deen?





iljibu
 
Nonsense
 
Uislamu ni janga la dunia so far ni dini iliyojaa ukatili sana wao kuua sio habari kabisa. Kosa kidogo tu unasikia linakusomea albadili ufe nonsense.
 
Unaweza jiona una fikra pevu kumbe mpuuzi tu,wale Malaya aliokua akizungumza nao yesu walikua wanavaa Kama mama yake yesu!?...waarabu hawakuwa wakivaa ushungi,ndiyo maana Qur'an inamtaka mtume awaambie wanawake wa kiislam wavae shungi...utamaduni wa waliostaarabika Leo ni ndoa za jinsia moja,mwenye upper reasoning capacity Hilo ni sawa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…