Msemaji wa Familia
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 875
- 839
Au ni wapi Nyerere alishauri kugawa Bandari zetu na Rasilimali nyingine za Taifa kwa Wajomba wenu wa Oman na Qatar ? Nyerere (RIP)alikemea mara zote pale alipoona Taifa linapelekwa pasipotakiwa, na alifanikwa Kuliokoa.Ulisikia Nyerere alishauri vitu vya hovyo kama hivi vinavyoshauriwa sasa hivi? Ulisikia Nyerere ameshauri watu watekwe au wapotezwe?
Anahitaji akapimwe ! Kuna Tatizo mahala.Kikwete ni mstaafu lakini akili zake ni kama zako tu. Hafai kuwa hata mshauri wa familia yake
Mwlimu hakuwa mbinafsi kama wachumia matumbo na Familia zao tulionao sasa hivi kwenye usukani wa Nchi yetu. Ni kumlilia Mungu atunusuru na Kundi Hili Hatari !Wakati Nyerere anashauri ndugu Makongoro, Andrew, au Madaraka hawakuwa na vyeo serikalini
Huyo dogo ndiye Maskini yeye anayetetea mijizi kwa hivyo vsenti anavyolipwa. Hajua kuwa kuna watu wana uwezo wao na bado wanatetea Taifa lao. Yeye siyo tu ni maskini wa mwili bali pia maskini wa Akili.Unamlisha nani mbwa wewe.Unamvika nani nguo kunguru wewe.Umemjengea nani nyumba ya kuishi funza wewe.Utajiri wako siyo utajiri wa Watanzania wengine nyani wewe.
Mkuu una one dimensionsl thinking, muelekeo wa kidini, kwa dini uipendayo.Yaani akifanya mkiristo nihalali lakini muislam nikosa
Watoke hadharani waseme ukweli kuna kitu gani muislam huwa anawabana kuliko mkiristo
Hisia zangu nakumbuka kabla ya bandari walikuwa wametulia inaonekana kuna mfereji umekatwa bandarini ndio hii milio inatoka kwa kasi hivi
Below 0.001 on standard gauge !kwanza wewe una IQ ngapi, hebu tuanze hapo maana nisijekuwa namjibu mtu way below my standard.
Big Body, Narrow Minds ! Shame on You !MAASKOFU KINACHOWASUMBUA NI HASIRA TUH ZA KUKOSA HUDUMA YA PUSSY,WAAMBIEN HAYO JAMAA WATAFUTE WENZA AMA SIVYO HIZO MUSTERBATION ZITAENDELEA KUWAPA MSONGO WA MAWAZO
Si Uangalie Uzito wa Machapisho na Michango yao humu JF? They speak on their own ! Tunawapima kwa Hoja Zao, sio kwa utaalamu wa matusi na uchawa wao kwa wahuni !nyinyi mnaakili gani?
Hakuna umwagaji wa damu ndani ya JMT na hautakuja utokee siku za karibuni, ondokaneni na dhana za kubuni hizo.
Umeandika gazeti zima lakini ujumbe ni nusu tu. Tafuta uelewa wa mengi yanayofanyika usikimbilie mkumbo wa mawazo ya jumla yanayotokana na kusoma magazeti na vijarida vya wanaharakati.Vita ya wenyewe kwa wenyewe hua inasababishwa na watawala kukubali kununuliwa na mafisadi yasiyojali maslahi ya nchi.
KONGO aliyesababisha vita ni Mabutu na jeshi lake kuwaua wote waliojali maslahi ya umma.
Tanzania hakuna uwezekano wa kuuana bila serikali kuhusika .
Mfano . Leo hii Kule mtwara kuna vurugu za wakulima na wafugaji kila siku kwa sababu wafugaji hawana ardhi popote zaidi ya kutegemea mapori ya akiba ambayo kwa sasa Serikali tangu awamu ya pili yamekua yakiuzwa kwa Waarabu na wazungu na viongozi kumiliki mamiloni ya hekari .
Mwinyi aliuza ardhi ya wamasai kule Loliondo wamasai wakaanza kuhangaika kutafuta malisho . Ni maelfu ya wakulima wameuawa tangu mwinyi auze ardhi kwa wageni mpaka leo hii lakni hakuna anayejali kwa sababu wanaouawa ni wanyonge . Kule kwa wasukuma hivyo hivyo .
Leo wale wanaokosoa huo mfumo mbaya wa kujali matajiri na wawekezaji wezi anatekwa na kuuawa na damu yake inahesabika kuwa ni kama mbwa tu kwa sababu sio mtoto wa shekhe mkuu au waziri au mbunge au mhundi au mwarabu tajiri .
Sasa wahazabe ardhi yao inanyemelewa na Wazanzibari wenye asili ya uarabuni . Baada ya uchaguzi huu watahamishwa au kuwekewa mazungira magumu ya kuwafanya waishi kama wakimbizi na kuanza kukimbia kwenye ardhi yao ya asili . Wakifa damu yao haitaonekana kwa sababu nimaskni wanahesabiwa kama wanyama.
Sasa hali hiyo itakuja kubadilika siku ambayo vijana wengi ambao ni watoto wa wakulima na wafugaji watakapoona hawana tena ardhi ya kulima wala kufuga na hali ya maisha ni ngumu na ajira hakuna na hawana kazi ya kilimo wala kufuga ya kuwafanya wawe bize kutafuta chochote .
Hapo ndipo watawala watakapogundua kuwa kumbe Tanzania na Afrika kusini na kenya wanaishi binadam wenye mahitaji sawa kama binadam.
Kwani kuna aliyebishia hilo? Ukipewa Kazi Ifanye inavyotakiwa kwa Maslahi mapana ya mwajiri wako ! You either do it, or You Dont Do it ! You can't be in between !Huu ni wakati wa Samia, Mungu alipanga awe rais wa JMT mwaka 2021, punguza kuishi na vinyongo vinaweza kukupa stroke na matatizo mengine ya kiafya.
Samia anaifanya sana kazi, ukiona hawa wengi wanaompinga sababu za kisiasa zipo nyuma ya hoja zao. Wengi walitanua sana awamu ya tano huko kwenye halmashauri na mawizarani amekuja Samia wameshindwa kuuweka sawa ule mrija wao wa upigaji.Kwani kuna aliyebishia hilo? Ukipewa Kazi Ifanye inavyotakiwa kwa Maslahi mapana ya mwajiri wako ! You either do it, or You Dont Do it ! You can't be in between !
Kwa Hiyo RA anawekeza kwenye nini ndo inaleta malumbano? Hoja siyo aina ya uwekezaji, ni namna gani huo uwkezaji unafanywa hasa ni jinsi unakinzana na Maslahi ya Nchi, kupora raslimali na kupatiana miradi ya Serikali kwa bei chee ! Hapo ndioko ugonvi ulipo. Ulishaona akina Dangote wanapigiwa kelele? RA ni deal man who plays with our Government bureaucracy to syphon our national resources . We will not keep silent. “The World Will Not Be Destroyed By Those Who Do Evil, But By Those Who Watch Them Without Doing Anything” . Albert EinsteinHoja ya kitoto sana.Leta ushahidi au just keep quiet.Huna hoja Mo na Bakhresa wanawekeza kwenye nini?Mpaka ilete malumbano.Kwa akili ulizonazo Front umehadithiwa.
Samia anaifanya sana kazi, ukiona hawa wengi wanaompinga sababu za kisiasa zipo nyuma ya hoja zao. Wengi walitanua sana awamu ya tano huko kwenye halmashauri na mawizarani amekuja Samia wameshindwa kuuweka sawa ule mrija wao wa upigaji.