aliyesema ana gari 2 kumbe anazo 5 ni mkweli? hii kesi hachomoki hata amwage machozi ndoo nzima
Kumbe unayo akili hafifu kiasi hiki?aliyesema ana gari 2 kumbe anazo 5 ni mkweli? hii kesi hachomoki hata amwage machozi ndoo nzima
Manyanza..muendelezo baada ya Mahakama kwenda mapumziko ya mchana mbona hauonekani?
Huyo hata akiambiwa "don't watch your back" atatii.Watu wanakana mpaka dini zao kisa mihamala dah! Mtu kama huyu si anaweza kuvua hata ubingwa wake hii Hali inatisha kwa kweli
Lissu sio Babu Tale. Ukiulizwa katika hayo mengi aliyoongea hoja ipi sio ya msingi utaishia kuweweseka tu.Jaji anamsikiliza maana hamkawii kusema anaonewa, anaachwa amalize aridhike hukumu awaachie majaji, juzi jaji alimwambia jielekeze kwenye yale ya msingi na alikuwa anamhimiza amalize lkn lissu anadhani kuongea sana ndio kushinda kesi.
Huyo jamaa nilishaachana nae mda, sijuagi kwann huwa mnamjibu ujinga wake. Sijui kwann mko nae ..wanini yani!Mkuu,kwani nini maana ya kazi?
Vipi kama ikiwa hiki anachokifanya ndio kazi yake?
Inabidi wajifunze kutumia hii button ya ignore. Inasaidia sana kupunguza kukutana na shudu za Lumumba. Bado mmoja nifikishe 100.Huyo jamaa nilishaachana nae mda, sijuagi kwann huwa mnamjibu ujinga wake. Sijui kwann mko nae ..wanini yani!
Mkuu, mi si mtu wa siasa sana ila hao jamaa wanapost/ kukomenti kitu kinafikirisha kwamba ni kusudi kuvuruga si kwamba hawajielewi/hawaelewi wanachokifanya, nilifatilia nikaona kumbe hufanya kwa makusudi na sababu ndo maana nikawaignore...ni vile wakomenti wafikiriavyo kuharibu mjadala. Baadae husema Chadema mnamatusi huku wakijua si wote humu tunakomenti Tuko Chadema. Ni kama mwanamke anaekuropokea makusudi ili ukimzibua aseme we mwanaume mkorofi but aliitafuta hasira yako!Inabidi wajifunze kutumia hii button ya ignore. Inasaidia sana kupunguza kukutana na shudu za Lumumba. Bado mmoja nifikishe 100.
View attachment 3680007
Hafu wanasema serikali imetishiwa. Imetishiwa bila viombo hivyo vyote kupewa taarifa??Case Closed.
Huyo kala miti 16 sasaHello Broo man,
-Unapigania nini ?
-Unapigania akina nani ?
-For what in return ?
Nikuambie kitu, Wewe ni msomi na Smart and deep down you know what ur doing here.
Lakn hauoni unafika mbali kufanya dhihaka kwa mtu anae pambania uhai wake ?. Mtu alipigwa risasi 16, leo hii anatembea kwa kuburuta mguu, Donβt you feel sorry for him ?.
Uhai na maisha ya mtu leo mbele ya unachopambania hauna maana kabisa ?
I donβt know how to express,, lakin jaribu kua na utu acha utani na uhai wa mtu.. So please ππΎ.
Chai.
Umeamua kuifuta au sio? ππChai.
Hiyo thread iko wapi?
Sio tu kupewa taarifa lakini pia vyombo vyote vilivyoitwa watoe ushahidi vimekula unyoya, Kesi ya Uhaini ni kubwa kuliko kesi yoyote vimeshindwa vipi kutoa ushahidi kama kweli Uhaini umefanyika hii ni sehemu Tundu Lissu kapata point 3Hafu wanasema serikali imetishiwa. Imetishiwa bila viombo hivyo vyote kupewa taarifa??
mengi ni porojo yaliyo nje ya kesi, anaposema ameshtakiwa kwasababu ya siasa kwann hataji sheria inayosema mwanasiasa akifanya kosa asishtakiwe.Lissu sio Babu Tale. Ukiulizwa katika hayo mengi aliyoongea hoja ipi sio ya msingi utaishia kuweweseka tu.
kumbe ni mjinga kiasi hicho, unajua maana ya shahidi kuangaliwa kuaminika kwake kwenye kesi?Kumbe unayo akili hafifu kiasi hiki?
Kwa hiyo Tundu Lissu atapatikana na hatia ya uhaini kwa vile Heche kadanganya kuwa anayo magari mawili?
ungefatilia vizuri ungegundua maeneo mengi sana ushahidi wao umepishana masawli mengi heche kasema hajui, brenda kasema kamsikia lissu akisema kukinukisha lkn heche kasema hajasikia...uongo wa Heche hauna mahusiano na hati ya mashtaka, ushahidi, au kielelezo chochote, kilichokuwa mahakamani.
..kama taarifa za miamala za Heche zingepelekwa mahakamani kupitia taratibu rasmi za kimahakama halafu Heche akasema uongo hapo ndipo kungekuwa na tatizo.
..ushahidi wa Heche unasomana na wa Mnyika, Brenda Rupia, na Amani Golugwa, na hicho ndicho kitu cha kutilia maanani.
Hivi final submission ya akina Katuga ya kwao ni written sio maana Lissu alisema yake ni orallyMAHAKAMA IMEANZA TUNDU LISSU ANABISHANA KIDOGO NA MAJAJI KISHA ANAENDELEA.
SEHEMU YA 1. TAREHE 28.9.2026.
MAHAKAMA INAANZA HAPA
Ameingia Lissu, kisha wakafuatia Majaji kwa pamoja.
Karani wa Mahakama: Anaanza kusoma Criminal Session, Kesi Na. 19605 ya mwaka 2025, Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.
Anasimama Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga.
Nassoro Katuga: Iwapendeze Mahakama hii Tukufu, Waheshimiwa Majaji wa Mahakama hii Kuu. Naitwa Nassoro Katuga, Wakili wa Serikali Mkuu. Nipo pamoja na:
1. Job Mrema, Wakili wa Serikali Mkuu
2. Ignas Mwinuka, Wakili wa Serikali Mkuu
3. Tawabu Issa, Wakili Mwandamizi
4. Cuthbert Mbilinyi, Wakili wa Serikali
5. Winniwa Kasara, Wakili wa Serikali
Waheshimiwa, jopo la mawakili sita linaiwakilisha Jamhuri, na mshtakiwa yupo kizimbani.
Shauri limekuja kwa ajili ya mawasilisho ya mshtakiwa.
Sisi upande wa Jamhuri tupo tayari. Sijui mwenzetu.
Jaji Ndunguru: Mshtakiwa?
Lissu: Nipo tayari, Mheshimiwa Jaji.
Jaji Ndunguru: Tuendelee.
Unakumbuka Ijumaa wakati tunahairisha ulikuwa umemaliza hoja ya saba. Tuanze ya nane.
Lissu: Waheshimiwa Majaji, nawashukuru sana.
Waheshimiwa Majaji, kabla sijazungumza ya leo, naomba niseme yafuatayo.
Na haya nayazungumza kwa sababu leo namaliza hoja yangu ya mawasilisho.
Jaji Ndunguru: Katika session hii ya asubuhi?
Lissu: Hilo siwezi kusema.
Kwa sababu leo namalizia kuwasilisha, kuna maneno ambayo naweza nisiyazungumze tena.
Naomba sasa kusema mbele ya Majaji yale ambayo nilitaka kusema.
Jaji Ndunguru: Kwanini usiyaweke mwisho, tukupe muda ili twende kwa mtiririko?
Lissu: Hilo nalo ni gumu. Kwa kweli, naomba muda niweze kusema.
Lissu: Hoja ya nane inauliza kama, kwa kuzingatia majibu ya hoja saba zilizotangulia, upande wa mashitaka umethibitisha mashitaka yake kwa kiwango cha uthibitisho kinachotakiwa na sheria.
Kiwango cha uthibitisho kinachotakiwa na sheria katika kesi ya jinai kama hii ni uthibitisho usioacha shaka yoyote ya msingi β Proof Beyond Reasonable Doubt.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Kwanini iwe Written? Ilitakiwa iwe Oral kila mtu asikie kile Jamhuri kinasema.Hivi final submission ya akina Katuga ya kwao ni written sio maana Lissu alisema yake ni orally