Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

View attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili...
Kumekucha kumekuchaaa[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Yale mambo tuliyoyamiss sasa yameanza[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
nishasema hapa duniani hakuna binadamu mwenye akili ndogo km huyu bwana. Hajui hata majukumu yake, ni km comedian flani. Atamharibia mama...

Nimeshangaa msemaji wa chama anakuwa na mamlaka ya kumwamlisha Waziri Mkuu au Waziri yeyote afike mbele yake. Sijui waliomteua kwa lipi.
 
Kwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!
Kwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!
safi kabisa acha awavuruge wavurugane.............................hakuna PM, hakuna Naibu PM, hakuna cha waziri, Hakuna PS wooooooooooooooote wako chini ya makonda
 
Ila naona kama haya maneno angetamka katibu Mkuu Chongolo, Makonda ni mzuri kwenye kuvuka mipaka kimajukumu, kwa maana utawala ule alikuwa kama makamu wa rais na sio mkuu wa mkoa.
Kwa hapa sasa hata mwenyekiti SSH atakuws hana cha kuongea, show zote zitamalizwa na Makonda.
Makonda atakuwa msaada sana kwa mama.

Ingawa yule mama simpendiiii....
Ni sawa kabisa katibu mwenezi ana jukumu la kusimamia serikali …
 
Watanzania bwana! Hamtaki mabadiliko Paul makonda yuko sahihi ,anawajibika kazi yake.Chama kusimamia Serikali(mawaziri na viongozi). Waziri mzigo ana ua Chama Paul dili na hao wazembe
 
Screenshot_20231101-170107.jpg
 
Back
Top Bottom