Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

Hawa wanaume sijui huwa wanawaza nini kwenda kuoa watoto wao.

Mengi na utajiri wake ameacha matatizo lukuki.
Yaani mtu kasota kupata mafanikio, unataka umpangie totoz ya kuwa nayo....eti akachukue kikongwe, hujawaelewa wanaume mama hasa ambao ni matajiri, ni sawasawa una kisu kikali halafu ukate nyama mbovu.
 
Kama baba yao yupo yes. Sasa anawaomba watu ambao si wazazi wa hao watoto. Yeye kama mzazi ana uwezo wa kutoa hizo pesa ?Tuanzie hapo kwanza.
Siyo anawaomba ni mali ya baba yao na wana hizo haki
 
Kumbe ana taka pesa nyingi hivo na hamsemi mnasiri nyie
Ila kwaajili ya kulea watoto hao wawili hadi miaka 18, ni kawaida

Maana yake yani hiyo gharama ya hao watoto hadi wafike miaka 18, hao watoto shule wanazosoma, safari zao na life style zao pengine hicho kiasi ni kidogo kwa hadi wafike miaka 18, maana tukumbuke jinsi pesa inapoteza thamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…