Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

Hawa wanaume sijui huwa wanawaza nini kwenda kuoa watoto wao.

Mengi na utajiri wake ameacha matatizo lukuki.
Yaani mtu kasota kupata mafanikio, unataka umpangie totoz ya kuwa nayo....eti akachukue kikongwe, hujawaelewa wanaume mama hasa ambao ni matajiri, ni sawasawa una kisu kikali halafu ukate nyama mbovu.
 
Kumbe ana taka pesa nyingi hivo na hamsemi mnasiri nyie
Ila kwaajili ya kulea watoto hao wawili hadi miaka 18, ni kawaida

Maana yake yani hiyo gharama ya hao watoto hadi wafike miaka 18, hao watoto shule wanazosoma, safari zao na life style zao pengine hicho kiasi ni kidogo kwa hadi wafike miaka 18, maana tukumbuke jinsi pesa inapoteza thamani
 
Back
Top Bottom