Good. Kwakuwa tumeshaikubaliana kuwa hiyo ni loan. Basi tunaenda vema.Unajua kiasi cha mshahara anachopokea afisa wa ngazi hiyo? How in hell anafikia loan ya 1b?
Na mimi na shangaa hapa sasa kama tone tone wanalinyonya wakipewa nchi si watakuwa kama hawa tu?Mange anajenga hoja kipuuzi sana, kwake heri anayekula kidogo kuliko yule anayekula kingi!.
Kama hawezi kumkemea anayekula kidogo anapata wapi jeuri ya kumlaumu anayekula kingi?
Badala aje na hoja ya kumsafisha Heche kama angeweza, ameona aje kuuficha uchafu wa Heche kwa kuweka uchafu mwingine juu yake!
Hao wote ni wachafu bila kujali kiasi wanachokula, aache uchambuzi wake wa kitoto.
You can't be serious.Ungeweka ushahidi kwamba huyo mwenye kidogo ni mwizi ingeleta maana.Unaweka shutuma tu bila hata ushahidi kuthibitisha!?
Ooops! What?This country is FUCKED.
Dada vipi tena!.Wewe ni malaya wa makengeza pambaf mkubwa
Na zile gari zilizopigwa picha kwa Kizigha nazo ni fake?Huyu kahaba anajua kuwapumbaza wale nyumbu wake wa chadema, na wanaamini kabisa hiyo taarifa ni ya kweli. Siyo rahisi kupata statement ya benki ya mtu sembuse ya IGP? Tumieni akili badala ya makalio. Huyo mfanyakazi wa benki atakayejaribu labda hajipendi, kwa teknolojia iliyopo atakayehusika na huo upuuzi anajulikana. Mnatengeneza upuuzi wenu kujaribu kupandisha hasira za wananchi, kuchochea chuki dhidi ya viongozi, ila ni wapumbavu wachache mtawapata, mwisho wa huyo malaya ni mbaya sana!
Ile michango haikuwa yake binafsi.Kula ule chako sio cha umma tena chenye makando kando, mtumishi wa umma unatoa wapi B ya kuweka benki angekuwa Bharesa tungesema biashara zake, Wambura?
Shida ni kukataa mahakamani kwamba hamjuiKaingiziwa milioni 10 na milioni 20 na Salmin kwenye akaunti yake chawa wa CCM wanataka TAKUKURU ichunguze.
Mwenyewe ameshaomba radhi wewe ndie unamtetea kirahisi hapa.Heche hakuna pesa yoyote ameiba, akaunti zote za CHADEMA zimefungiwa kwa zaidi ya mwaka sasa, Tone tone ni michango ya huruma ya wananchi na hata sasa hivi wakiombwa wako tayari kumchangia, Hakuna mahali ambapo Heche ameiba cha mtu, Mimi na UCCM Wangu nachangiaga CHADEMA kwa kuwa wanawakilisha ajenda za wanyonge, na hata sasa wakitangaza mchango nikiwa nazo nitampa Heche, akale tu basi.
Alisema: " Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha..........." (Math. 11:28)Ccm wezi, Chadema wezi twende wapi sasa.
Sahihi kabisaSasa hawa watu watashindwa kukuua?
Kama wameweza kudharau katiba na kumuondoa makamu wa Rais kinjama watashindwa kupita na wewe?
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi, ikikupendeza waondoe wanao watanzania kwenye mikono ya Farao (Ccm) na mafarisayo ( Chadema) . AminaAlisema: " Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha..........." (Math. 11:28)
Naam. Na huo ndo UKWELI halisi. Yule mwandishi alikuwa na akili++"Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo sana huwa dhalimu katika lililo kubwa pia." Luka 16:10
Hapo sasaKula ule chako sio cha umma tena chenye makando kando, mtumishi wa umma unatoa wapi B ya kuweka benki angekuwa Bharesa tungesema biashara zake, Wambura?
Na kututendea sawa sawa na wingi wa rehema zake. Amina.Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi, ikikupendeza waondoe wanao watanzania kwenye mikono ya Farao (Ccm) na mafarisayo ( Chadema) . Amina
Tulia sindano ikuingie vizuri, usijitikise, sindano itakatika..Eti mnatingisha kiberiti, huyo kahaba anawaonaje wafuasi wa chadema? Kwamba ni mazuzu kiasi hicho? Huyo malaya ni Mmarekani anataka nchi yetu ichomwe moto? Ili iweje? Tuishi wapi? Wote tutapata uraia wa Marekani? Anachochea vijana hasa wale wasijielewa kwa kutengeneza document vyeti. Kingine anawapumbaza nyumbu kwamba ana uwezo wa kupata taarifa nyeti tena kutoka benki, nawadharau sana hawa wanaomwamini, ni aibu, ni fedheha, ni udumavu wa akili kumwamini huyo mbwa ambaye hata siyo raia wa nchi yetu!
Ila na hii serikali imezubaa mnooo, ingekuwa kwa Kagamr hako kahaba kangeshakamatwa au kutangulizwa ahera, alikofikia siyo wa kumpuuza ana malengo makubwa machafu sana! Shauri yenu vyombo mtajikuta mmchelewa km mwaka jana! Hii mitandao msiipuuze! Huyo Rais km anaona edda ni muhimu aache Urais wetu! Ndiyo shida ya kumweka mwanamke kuwa Rais tena mwenye complication ya mambo ya EDDA