Kukubali kuwa ni loan pekee haimaanishi nakubaliana na hizo statement. Kwanza kabisa mtumishi anaetumia mshahara kwanza kabisa mshaara wake ndio uta determine if anaweza pata hiyo loan.

How do i know, back in the day nilikuwa muajiriwa tena mojawapo wa taasis za ulinzi na usalama, mkuu wa taasis fulani anaepokea mpaka 10m hayuko eligible kupata loan ya 1b and above. Haswa ukishafikia ngazi hiyo huna muda mrefu kazini

Pili labda kama ana biashara pembeni inayo muingizia zaidi ya 1b, lakini biashara gani hiyo ambao kaa utumishi wa umma lazima waonyeshe mali wanazomiliki.

Kuna fishy motive mahali
 
Du! Mange kawaumbua vibaya sana hawa mbwa aisee! Wakae kwa kutulia.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu kuwa kwa mshahara wa serikalini huwezi kupewa 1b, ila angalia mkuu, watu wako na side hustle zao ambazo huwezi jua. Mf. Kwetu kanda ya ziwa watu wana maduara, siku shimo likitema vizuri. 1b inapatikana.

Mawazo yangu mimi ni haya.
1. Statement sio ya kweli na imeandaliwa kwa lengo la kugombanisha watu, Sababu ni kukunja kunja sehemu ya kuonesha hiyo 1b ilipotokea..Watu wengi wanaendelea kubishana humu wakati hawajaona neno loan, kwa kuwa limefichwa. Na haina muhuri, Rejea vijana waliowahi kughushi NIDA ids na Leseni za Udereva za mchina aliekamatwa Bandarini safarini zanzibar

2. Kama Statement ina ukweli wowote, basi mwenye hizo ela hajaiba, amekopa, na kukopa kiasi hicho kinahitaji uwe na mzunguko wa biashara mkubwa, sasa kama mtu hajaiba amekopa. Kwanini tuanze kusema ni fisadi, sababu tuliyonayo hapa ni statement inayoonesha mkopo.

Lengo la haya ni hivi. Leo kijana ameajiriwa Chunya, akabahatisha dhahabu nae tutamuita mwizi sababu account inasoma 1b? Kama ni ufisadi wa huyu jamaa, basi tupate ushahidi wenye uhakika zaidi.

Nawasilisha mkuu.
 
Na wewe ni miongoni mwao?

Mbona akili zimekuruka?
 
Acha porojo nyingi
 
Wameishachagua jina baya la kikumuita mbwa mtiifu fulani ili wapita njia wote wampige mawe afe.

Maana nyingine, ukitaka kumuuwa mbwa mwaminifu mtafutie jina baya. (Ni msemo wa kiswahili)

Hata Chadema wajisafishe na sabuni ya magadi, na omo, Serikali ina kinyesi cha kuwapakaza wazidi kunuka.
 
My question hapa sikatai mtu kuwa na side hustles nje ya ajira. Lakini pale pale kuna rule ya hao so called waheshimiwa ku disclose mali walizonazo matter of fact ni sheria

asipo disclose haku a namna ya kujua 1b ina relate na wapi, biashara or magendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…