Vifo vilivyotokana na maafa yaliyotokea wilayani Hanang, mkoani Manyara, na kusababisha uharibifu mkubwa ikiwemo baadhi ya nyumba na mali, vimeongezeka na kufikia 47 na majeruhi 85.

Tuzidi kuwaimbea ndugu zetu hali ni mbaya niliona video mchana hali inatisha nikiipata nitawetea hapa
 
Au kuna Bwawa la Maji kama la Libya? Source ya Maji ya Bomba I mean.
 
Ilaa taarifaa sio sahihi sisi uku tumeshuhudia watu said 100. wakifariki mnasema 17.
 
Watu walikebehi watalaamu humu ndani. Watu wanajua kuwa watalaamu ama watu kwenye vitengo vyao wanalala na kuamka ama kuota wanajiropokea tu Kama wanasiasa wanavyoongeaga Kama utongazavyo unaongea ahadi ambazo huwezi timiza
 
Poleni sana sana Kwa msiba huu mkubwa, so far ni 47 confirmed dead! Ila Kuna Mambo mengine yanaleta ukakasi!

FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu

View attachment 2832497
Vilevile, itakuwa sawa kabisa kusema hao Askari walio pichani wapo hapo kama Advance team ya Usalama wa Raisi.

Na sio kila kitu ni kuzodoana na kukashifiana tu.

Hatahivyo ni kawaida katika majanga yeyote yale duniani kuwepo askari wanaolinda maeneo na mali wakati waathirika wakiwa katika mkiki mkaka wa janga linalowasibu.

Poleni wafiwa na waathirika wote. Muumba awalinde na kuwapitisha nyakatinhii ngumu.
 
Maelezo safi sana. Reasoning ya wanajf inazidi kushuka kila uchwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…