Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Sisi tulioanza kuonja chungu kwenye uchumba TU tunaelewaa πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza tambua

Mwanamke ni binadamu kama wewe, tabia za binadamu zote anazo ila mazingira na mifumo tuu ndo inayomuweka awe mtu wa aina gani,,

Ukijua hilo tambua kuona mabadiliko waziwazi au kwa Siri kutoka kwake pindi mtapokuwa kwenye mahusiano ya ndoa ama uchumba,

Mengine mwenye maamuzi ni wewe maake sisi hatukuwa na yeye ni wewe, ukimchukua elewa madhaifu, strength zake, punguza matarajio mengi kutoka kwake,
 
Yaani niache kula chips mayai na mishikaki plus Pepsi Lisa mtt wa mtu? No wat
 
Hakuna mwenye mpenzi mmoja siku hizi labda awe mcha Mungu sana lakini asiwe single. Masingle wote ni foleni hapo ulipo hadi Ujiji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…