Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Bila kuchelewa,tena kama alikua hakupendi kabisakabisa anafuta na namba,inamaana hata status unakomeshwa,huwezi kuona nini anapost kama mpwa mmoja hapo anavyolalamika kua HUWA HAVYUU HATA STATUS za aliyekua mpenzi wake.Anakata mti, anapanda mti.
Si ndiomana ukawa jirani yangu πΉπΉKumbe tupo kundi moja!
ππ
πΉπΉ Ego zimewaponzaMim kuna mmoja nilimwambia atafute mtu,kweli bhana akatafuta kimya kimya siku moja nikawafuma usiku wanaenda maghetoni kulana,nikachukulia poa
Nimefika gheto,moyo ukaanza kuniuma,nikamtumia sms kimya akajibu kesho yake saa 6 nikaamin kweli kitu imechapwa,niliteseka sana moyo uliniuma mno mpaka nikataman anifanye japo spare tyre
Mjinga yule aligoma hata kukutana na mim kwa wakat huo hata nipoze moyo kwa kuongea nae
NIkamaliza mwezi mzima wa mateso nikaanza msahau mara ghafla yeye tena ndo akaanza nisumbua,na mim nikaanza kumgomea kukutana nae ila kisiasa,ila akitaka hela namtumia
Yaan mpaka leo penzi limeisha hvyo,ingawaje tulkuwa tunapendana sana sana
Usicheke π€£π€£ππππππ
Barikiwa mkuuWewe ndo umemaliza kilakitu.
Nakupenda π₯°Vipi?
For sureKweli hakuna kipya kwake
Ndo hvyo tukajikuta tumepoteza penzi tamu sanaπΉπΉ Ego zimewaponza
Mapenzi ni kitu kimoja na upendo ni kingine sikuhizi ni mapenzi ya kimagumashi yasiyo na upendo .... Wakt mwingine unafanya visa TU jitu likuondokee halina vigezoSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Mmmmhmn kaoneAshukuriwe Mungu mapenzi hayajawahi kunitesa,hela dada helaπ€π€π€π€
Nikikosa Hadi huwa naliaπππππππ
Kiduchuu tyuuh πππUsicheke π€£π€£
Sawa πKiduchuu tyuuh πππ
πππSawa π
Kwahiyo sahivi wimbo wako pendwa kwenye playlist yako, ni salama wa barnaba ft diamond platnumz au sio Fanton MahalYeah sure. You are very right. Nilikua jijin last week kuwaona watoto na yeye pia nikaonana nae, i felt sorry for her. Very sorry indeed. Sina namna ya kueleza ila kiukwel hakunivutia kabisaaaaa ile kutoka moyoni nikamuonea huruma.
Kama huyo mtu hauna upendo naye kwanini unaingia naye kwenye mahusiano sasa?Mapenzi ni kitu kimoja na upendo ni kingine sikuhizi ni mapenzi ya kimagumashi yasiyo na upendo .... Wakt mwingine unafanya visa TU jitu likuondokee halina vigezo
Mbona ni rahisi tu jamani,,,, enhee hivi yule kijana wa asubuhi ulienda kumsaidiaππMwaka wetu huu,,ni vile mi sjui kuanzisha threads mbona mngeomboleza sana