Unauhakika au unatuandikia hutuba hapa hapa . Usa anachingia kiasi gan kwenye uchumi wa duniaNi kwamba nchi ya Marekani inaongoza kwa kuunda vifaa vya teknolojia ya juu bila kusahau kuongeza thamani bidhaa mbali mbali na kuviuza nje. Marekani ndiyo nchi inayoongoza kuwa na haki miliki ya teknolojia na uzumbuzi nyingi yaani Patents huo nao ni utajiri mkubwa.
Huku nchi ya China nayo ikijitahidi kuongeza mauzo ya bidhaa ilizoonfeza thamani lakini siyo vya teknolojia ya juu
Hii inadhihirishwa na bidhaa nyingi sisizo na ubora kutoka China, ukosefu wa ajira nchini China umefika asilimia 17% miongoni mwa vijana, soko la ndani kuwa saturated (kufikia kikomo), vijana wengi kuondoka China kwenda nchi za kiAfrika kama Nigeria, Tanzania n.k kutafuta fursa za kuuza bidhaa hizo hafifu
VIDEO : MAHANGAIKO YA VIJANA WA CHINA KUTAFUTA FURSA AFRIKA
View attachment 3311067
Chasing the Chinese Dream in Africa - Documentary 360
View: https://m.youtube.com/watch?v=34woI_H3nTcSource : NHK World News
Takwimu ya mwaka 2024 Zaidi ya wahitimu 12,000,000 wa vyuo vikuu nchini China humaliza masomo lakini uchumi wa China umekosa pumzi ya kuendelea hivyo nafasi za kazi hakuna
Uchumi wa puto ambao unamilikiwa na 10% ya watu wake bado tunajisifiaGDP zingine ni fake tu kuna nchi wanajida GDP zao ni kubwa wakati wananchi wao wanakufa na njaa.
Hujibu kisomi ila unajibu tu ki-jihadist hivyo wewe ni wa kupuuzwa tu.Sana sana anauza silaha na kulazimisha kuchukua madini ya nchi zingine
Taahira mwingine huyoo,hujachelewa lakini cha muhimu wakufunge kamba mapema tu
Kwani japan hawakuitawalaChina haikupata uhuru mwaka 1949 bali ilikuwa ndio mwanzo wa utawala wa Wakomunisti wa CCP, China ni taifa huru kwa miaka yote, haijawahi kutawaliwa au kuwa koloni. China Imekuwa Empire na taifa huru kwa zaidi ya miaka 2,000.
Wapunguze mara ngapi ?China wakipunguza kuzaliana, Marekani itaachwa mbali kwa GDP.
Kwanini Uingereza hakumdhibiti Marekani kabla ya WWI or WWII ? ili wasiwe mateka ?Mmarekani ni zaidi ya kuuza na kununua. Mmarekani ana control biashara ya kimataifa.
Mmarekani anamiliki pesa inayotumika zaidi kwenye biashara ya kimataifa.
Hii inampa Mmarekani faida kubwa sana katika biashara ya kimataifa.
Unyonyaji? Hv ukiambiwa ufanye kaz kwenye kampuni yakichina nayakimarekan unaenda kufanya wap muachage unafik vijana wa mudyIla elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Umeambiwa mimi ni msomi?Hujibu kisomi ila unajibu tu ki-jihadist hivyo wewe ni wa kupuuzwa tu.
350 asilimia 80 ya hivyo hela inaenda kwa sub contractor..halafu hiyo catapillar ilikuwa miaka ya 90 kuja 2000 amna kampuni ya maana inayoagiza macatapillar heavy duty machine china ameshaadominate tayari amka usingizini wwDege moja la Boeing 777x ni usd 350mil.... utauza chupi makontena mangapi upate hiyo pesa 😂 😂 😂 😂 sasa angalia vitu vingine kama mitambo ya Caterpilla etc
Marekani ni akili kubwa bwanamdogo, viti vyote ghali vyote hp duniani vinatoka Marekani. Ushahidi matajiri 10 wa dunia wote wako Marekani kasoro moja tu wa Ufaransa. Kumbuka nchi ya 3 ina GDP ya Usd 4 Trilion, tofauti ya 10 Trilion ni kubwa sana ht miaka 50 ijayo hawezi kuifikia.Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.
Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.
Karibu
Acha ushabiki wa kitoto km mwehuIla elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Weka source mkuu, tunauhakika gani hiyo data ulipoitoa?Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.
Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.
Karibu
Kwani hao subcontractor wanatoka wapi? Caterpillar bado ni kampuni kubwa, tunaotumia ya kichina ni huku Africa na Latin America.350 asilimia 80 ya hivyo hela inaenda kwa sub contractor..halafu hiyo catapillar ilikuwa miaka ya 90 kuja 2000 amna kampuni ya maana inayoagiza macatapillar heavy duty machine china ameshaadominate tayari amka usingizini ww
Wewe si jihadist..!! Fikra zako haziwezi kuwa tofauti na hizo because your mind has been heavily arabized to believe that everything American is a taboo.Sawa mimi siamini Gross domestic product anayo sema USA lazima azidishe uwongo.
Lazima ajidai vile ili aonekane yeye ni wa kwanza kwa kila kitu.
Kufanya kwa hao wavimba macho afadhali ufanye hata kwa Bakhressa atakulipa vizuri angalau.Unyonyaji? Hv ukiambiwa ufanye kaz kwenye kampuni yakichina nayakimarekan unaenda kufanya wap muachage unafik vijana wa mudy
Hapana, inajulikana wewe ni jihadist, the Madrassat Graduate.Umeambiwa mimi ni msomi?
Boeing, Facebook, YouTube, Twitter, insta, siraha za kisiasa, drones, computer, Dell, Microsoft, Airbus, caterpillar, Cummins, Detroit, USA anauza, bidhaa, moja, anailisha Afrika nzima kwa mwaka! Sio, china mpaka auze yeboyebo makontena Kibao, na simu za tecnoWachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.
Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.
Karibu
Hiyo GDP ya $ 4 Trillion ni sawa na GDP ya jimbo la California peke yake,shida mashekhe humu wanandoto ya kuiangusha marekani wakiwa usingiziniMarekani ni akili kubwa bwanamdogo, viti vyote ghali vyote hp duniani vinatoka Marekani. Ushahidi matajiri 10 wa dunia wote wako Marekani kasoro moja tu wa Ufaransa. Kumbuka nchi ya 3 ina GDP ya Usd 4 Trilion, tofauti ya 10 Trilion ni kubwa sana ht miaka 50 ijayo hawezi kuifikia.