Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Naona mmekurupushwa na Tec kila mnufaika wa hashtag za DP world anatoa milio kila kona 🤣🤣🤣!!
 
We mpuuzi uliacha akili kwenye tumbo la mama ako[emoji1787]
 
Pia kabla ya kutoa tamko TEC walitaka kupata ufafanuzi kutoka kwa serikali na hivyo wamejiridhisha kuwa mkataba ni mbovu.
 
Wewe ni mpumbavu!! Jadlli hoja moja hadi nyingine ya tamko la TEC, na uje na hitimisho sahihi. Ulichofanya hapo ni umekwepa kupangua DIRECTLY hoja za TEC.
 
Hii nchi bado haijawa tayari kuongozwa na mwanamke..

Yaani kuna mijamaa (mianaume fulani) iko nyuma ya huyu mama ikitumia udhaifu na uanamke wake kutaka kuiingiza nchi hii kwenye shida kubwa..

Ulichokisema ni kweli kwa 99%..
 
Wewe ni mpumbavu!! Jadlli hoja moja hadi nyingine ya tamko la TEC, na uje na hitimisho sahihi. Ulichofanya hapo ni umekwepa kupangua DIRECTLY hoja za TEC.
Mimi nimeuliza maswali yenye hoja
 
Wahuni tuu HAO hawana lolote
 
Wewe na Hilo Baraza NI wahuni tuu
 
Kuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.
Lord denning, si kwamba "wanajiona ni sehemu ya uongozi wa nchi hii", bali NDIO WANAOONGOZA nchi hii. Rais Samia Suluhu Hassan na mwenzake Prof. Makame Mbarawa na serikali kwa ujumla wanajua hili na ndiyo maana baada ya rejection ya mkataba huu toka kwa umma, watu wa kwanza kutafutwa na serikali kujaribu kuwashawishi walikuwa hawa.!!

Za kuambiwa, changanya na za kwako brother..
Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari?
Ajabu ni kwako. Umepigwa butwaa, umechanganyikiwa.
Wao kina nani nchi hii?
Wao ni kama wewe tu. Ni wananchi kama wewe. Wametoa maoni na ushauri wao. Na statement haiwalazimishi serikali kufuata ushauri wao. Ila kama serikali inapima nguvu ya hoja na kamwe sio hoja za nguvu kama hizi za kwako, then itachukua maamuzi sahihi..
Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??
Bila shaka tunawasubiri kwa hamu kubwa. Kwani mwisho wa siku deciding factor ya uzuri au ubaya wa hili jambo la Samia Suluhu Hassan itakuwa ni hoja na sio tamko la maneno matupu tu..!!
Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
Can you listening to yourself?

And why are you so desparate to the extent kwamba umekosa umakini kabisa wa kufikiri na kuamua uandike na uache kuandika nini?

Hivi mtu aliyeona shimo mbele yako akakuonya kuwa, usiende uelekeo huo kwa sababu utatumbukia shimoni na kuvunjika miguu na pengine kufa kabisa anawezaje kuwa ni mtu anayetaka kukuletea matatizo?

Ukifa au ukivunjika miguu, tatizo litakuwa ni aliyekuonya au ni wewe uliyeziba masikio na macho ukajiingiza kwenye shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…