Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Nani chawa?

Alafu Taifa linapunguziwaje thamani?
Chawa wewe apo
Hivi unapo gawa Bandari zoote kwa bogos treat alafu bado ukampa mgeni uhuru wakupewa ardhi popote anapo taka hivi nchi hii itabaki nathamani ileile
 
Chawa wewe apo
Hivi unapo gawa Bandari zoote kwa bogos treat alafu bado ukampa mgeni uhuru wakupewa ardhi popote anapo taka hivi nchi hii itabaki nathamani ileile
Nani ni chawa?

Wapi pamesemwa Bandari zote zimegawiwa?
 
Maaskofu wameona mbali sana!
Mungu awabariki zaidi kwa hili.
Nchi imefikia mahali mtoto wa Rais anakwenda kuwekeana mikataba na serikali za nchi za nje ilhali hata sio mtumishi wa UMMA!
Halafu wapumbavu fulani mnajitokeza kuutetea utawala huu!
Acheni kutuona watanzania wote milioni sitini ni wapumbavu wa kushikiwa remote msoga!
 
Nani kakwambia huyo mtoto wa Rais alienda kwa shughuli za Serikali?
 
DPW kwa ujumla hawezi kupendwa na baadhi ya wanasiasa, ni wanafiki wenye maslahi yao kupitia ufanisi mdogo wa uendeshaji wa bandari yetu.

Rais Samia anapopigania uwekezaji lengo lake ni kuongeza ufanisi wa TPA ili kinachopatikana kilingane na nchi yenye kutegemewa na mataifa nane kwenye suala zima la bandari.

Maadam upo msimamo wa bunge wenye kueleweka basi huo ndio wa muhimu zaidi kuliko hizi taasisi nyinginezo za kidini ambazo wahusika wanaweza kuhongwa pesa au kuwaonea aibu hao baadhi ya wanasiasa wapigaji wa pale bandarini.
 

Yepi mbona ni waturuki na unajua dini ya saturuki au tukukumbushe umepitiwa kidogo?
 
Ndo mana hata maaskofu wao walisomeka kwenye miamala ya Rugemalila. Hawa watu ni corrupt sana
 
Haya maswali peleka Kurasini TEC. Hapa nani atakujibu sasa?
 
Haziuzwi Bali
Ni ushauri tu, kama serikali haiutaki basi iendelee na mpango wake wa kuuza bandari.
Haziuzwi bali anapewa muwekezaji na matarajio ni kupata fedha nyingi kwa ajili ya kuendesha na kukuza uchumi wa nchi.

Kama kwenye makubaliano Kuna sehemu pameandikwa bandari inauzwa tueleze ili tusaidiane kuandamana,
 
Kasome masharti ya hiyo mikataba ya uwekezaji kwa nchi ulizozitaja ulinganishe na wa kwetu ndiyo utafahamu kwa nini watu wanapinga huu mkataba ulivyo na si ku question uwezo wa DPW.
Ni uelewa tu mdogo kaka, na ule ni mkataba kamili ukitaka kuelewa mantiki yake uusome wote kwa ukamilifu wake sio kifungu kimoja kisomwe kwa nia tu ya kutaka kufanikisha lengo la taasisi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…