Wewe ni fala...na ninadhani hujui hata kiingereza.Nani kakwambia huyo mtoto wa Rais alienda kwa shughuli za Serikali?
Wamegawanyika kweli kwani uongo mfano ni kama hapa mimi na wewe tuko tofauti kuhusu hili limkatabaHoja ni wananchi kugawanyika
Nitajie Hospital hata moja ya Rufaa inayomilikiwa na Bakwata au vyuo vikuu 2Hao maaskofu malofa tu hawawezi kuipangia serikali cha kufanya.
Wabunge walizungumzia pia Askofu Kilaini kupokea miamala ya Rugemalila kutokana na dili za IPTL. Au haukusikiaga?Soma reports za CAG na Sikiliza Baadhi ya wabunge wakiibua madudu.
Umemaliza asiyetaka kuelewa huyo shauri yake, nchi ina vyama vingi hata akishinda 51% wao wanaamua nini cha kufanya kwa mujibu wa sera zao kama kuna watu hawakubaliani nao wasubiri uchaguzi wachague wanayemtaka lakini sio unaleta vingamizi katikati ya mchezo ni kujipanga na jinadi tofauti. Sababu ni wazi hatuwezi kukubaliana 100% hata leo serikali ikisema tunawaletea maziwa bure kwenye mabomba nyumbani watakuja tu watu watasema maziwa labda ya Kilimanjaro haya ya ASAS sio mazuri hatuyataki. Yesu alikuja na alifanya jitihada zote kuwaridhisha binadamu lakini mwisho wakamtundika, Mtume Mohammed na mazuri yake yote lakini walimfukuza kwenye mji aliozaliwa na haya mambo hayatakwisha. Gaddafi aliwafanyia mazuri wa Libya lakini wakamfanya nini na leo wako wapi. Tuache serikali ifanye kazi mtu asiyewataka 2025 usiwape kura.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Kwani kila kitu Kipp kwenye mkataba!? Hata zile Trillion 26 tunazoambiwa hazijaandikwa kwenye mkataba.Wapi kwenye mkataba imesemwa watu wanakuja kutengeneza msikiti? Hivi nyie watu mna akili kweli? Au ni milobot mliyoshikiwa akili?
Acha wivu wa kijinga wewe au kwa sababu mamako siyo rais?Maaskofu wameona mbali sana!
Mungu awabariki zaidi kwa hili.
Nchi imefikia mahali mtoto wa Rais anakwenda kuwekeana mikataba na serikali za nchi za nje ilhali hata sio mtumishi wa UMMA!
Halafu wapumbavu fulani mnajitokeza kuutetea utawala huu!
Acheni kutuona watanzania wote milioni sitini ni wapumbavu wa kushikiwa remote msoga!View attachment 2720755View attachment 2720756View attachment 2720757
Nadhani unachopaswa kuelewa, hilo tamka la TEC ni maoni yao! Hawajailazimisha serikali kukubaliana na maoni yao,lakini wametoa tahadhari.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Hata kama kaenda kwani kavunja sheria gani? Rais anaweza kumtuma hata mwijaku kumuwakilisha madhali ni mtanzania tuache akili finyu watanzania.Nani kakwambia huyo mtoto wa Rais alienda kwa shughuli za Serikali?
Pia mkataba unapingwa na nwendawazimu tu ambae anaendeshwa na itikadi za udiniWeye huna weledi kabisa kama huoni ubovu wa vipengele vya mkataba basi either huna akili huo mkataba wa bandari unakubalika na mwendawazimu tu
Wewe ni mjinga kutoka wapi na maswali yako haya??? Asanteni maaskofu kwa hili. Mafisadi na matapeli yameumbuka.Mungu hayupo nao.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Kwahiyo kama Bakwata haina Hospital waislamu wanakufa kwakuwa hawatibiwi? Wakristo wenzangu tuache kuwa na akili finyu.Nitajie Hospital hata moja ya Rufaa inayomilikiwa na Bakwata au vyuo vikuu 2
Nyinyi miliandesha nini? wabunge 19 tu miaka 4 wamewatoa kamasi imefukuza CCM wamesema hakuna kuondoka mtu ndio nguvu ya CCM wanaume mmeufyata kimyaa mpaka leo ndio mtaongoza watu mil 60. CCM wakivukuza mtu wanavukuza . CCM sio mtu ni chama mambo aliyoamua JPM ni yaleyale CCM hawajageuza sababu ni chama CCM. Nyinyi hapo ajaribu mtu tu amguse Mbowe ndio utajuwa CDM ni nini.Kwa hiyo wewe na chama chenu ndo hamna akili ya kuendesha bandari?
Kanisa linapinga waarabu,wangekuwa wazungu usingewasikia.Wewe ni mburura. Tumia akili basi hata kidogo.
Unafikiri nani anakataa uwekezaji wa DPW?
Tunakataa masharti ya mkataba. Tumeyaongea humu yajibuni.
Halafu wewe ni mdini sana. Punguza mahaba ya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kitu weweHao maaskofu malofa tu hawawezi kuipangia serikali cha kufanya.
Hao maaskofu walikuwa wapi wakati wa MagufuliTanko dogo mmepaniki kama watoto.
Hutaki maaskofu watoe maoni yao?
Au ulitaka wakitoa maoni yao, yawe ya kukufurahisha wewe na chawa wenzako?
Wacha utoto, hii Tanganyika ina watu wanaojielewa.
Tengeneza copy nyingine wapelekee pale Kurasini TEC1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa naamini kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Umehongwa chizi wewe funga domo lako ova!Tunataka twende sawa. Sijahongwa na wala sitahongwa.