Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Jibu maswali!

Acha kukimbia ukiona maswali yamekuzidi uwezo!
Hauna swali hata moja.

Mkataba wa Bandari baina ya Tanzania na DPW haulindi maslahi ya nchi.

Uangaliwe upya, vipengele virekebishwe ili nchi inufaike na rasilimali zake
 
Mtu anaweza kutoa MAONI fulani kutokana na kutokujua( ignorance). Wananchi walitoa MAONI hayo Kwasababu walifikiri kuwa
(1)viongozi wote wa SERIKALI wana nia njema ( lakini uhalisia siyo hivyo).
(2) Kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya mfumo wa vyama vingi( ilikuwa inatangazwa kuwa vyama vingi vingeleta vita.)
(3) Propaganda za CCM za wakati huo( walikuwa wanatangaza kwenye majukwaa kuwa vyama vingi vitaleta vita)
(4) Kutowaambia wananchi faida za vyama vingi na HASARA ZAKE na FAIDA za chama kimoja na HASARA ZAKE( Hivyo baadhi ya wananchi walitoa MAONI wakiwa blindly.)
Katika muktadha huo J.K.NYERERE aliwasaidia wananchi kuruhusu mfumo wa vyama vingi Kwasababu aliona tishio la maslahi ya nchi katika mfumo wa chama kimoja.
NB
Vyama vingi yalikuwa masharti ya IMF na WORLD BANK kwa nchi masikini ili zipate mikopo na misaada(ya kifedha na kitaalamu). Hivyo kwa mujibu wa wakati husika ilikuwa haikwepeki baada ya kuanguka kwa USSR.
Hayo majibu ukiyoyatoa yanatokana na utafiti upi ulioufanya lini?

Kwa hiyo unaamini not all the times sauti ya watu inaweza kuwa sauti ya Mungu sio?

Na unaamini kuwa Serikali ina mkono mrefu sana unaouwezesha kufanya maaamuzi mazuri kwa faida nyingi za mbele sio?

Kama majibu yote hapo juu unakubaliana nayo basi amini Serikali imefanya maamuzi mazuri kwa kuangalia faida kubwa kwa taifa juu ya uwekezaji wa Bandarini
 
Haulindi maslahi according to who?
Hauna swali hata moja.

Mkataba wa Bandari baina ya Tanzania na DPW haulindi maslahi ya nchi.

Uangaliwe upya, vipengele virekebishwe ili nchi inufaike na rasilimali zake
 
Aoao ndiyo walimgomea Benjamin Mkapa kubinafsisha Bandari hiyohiyo
Tics walipewa Bandari kipindi cha nani? Waliwahi kutoa waraka?

Wakati Magufuli anawaongezea Tics miaka 4 pale bandarini mwaka uliwahi kuona wakitoa waraka?
 
Mchango wa Profesa Shivji na Profesa Anna Tibaijuka unakutosha kama hutaki nyoosha miguu kunywa uji. Au endelea kuamini unachokiamini.
Acha kikimbia. Tatizo unadhani unajibishana na maamuma hapa. Umekutana na kipanga mwenye data za kutosha . Jibu maswali hayo
 
Mchango wa Profesa Shivji na Profesa Anna Tibaijuka unakutosha kama hutaki nyoosha miguu kunywa uji. Au endelea kuamini unachokiamini.
Shivji hajawahi kutoa mawazo ya maana yaliyolisaidia taifa hili. Alipendekeza mfumo wa mabaraza ya ardhi ambayo ndo yanatusumbua nchini saivi kwa kuongeza migogoro ya ardhi! Ana lipi la maana?
 
Sawa.
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kuwa watu wengi walikataa mfumo wa vyama vingi na sauti ya watu ni sauti ya Mungu?
Kurudi mfumo wa chama kimoja siyo sahihi, Kwasababu wananchi walitoa MAONI ya kuendelea kuwa na chama kimoja kutokana na kupotoshwa na proganda za wakati huo( vyama vingi vitaleta vita).
Huwezi kujivunia MAONI anayotoa mtu bila kujua jambo vizuri.( Huo utakuwa utapeli).
 
Tupe uthibitisho kuwa walipotoshwa na propaganda.
 
Ndo hapo.

Yaaani kuna watu wanajiona kama wao ndo wanaongoza nchi.

Sasa naelewa kwa nini China walipiga marufuku upuuzi huu wa dini
Mkuu mbona unakuwa mkali hivyo wao siwametoa ushauri tu? Wewe unadhani China wangepitisha mkataba wenye masharti ya namna hii.
 
Back
Top Bottom