Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Hakuna usomi wowote. Fatilia performance zao. Mfano Kuna fr mmoja namjua nimesoma naye seminary ana Zero ya pcm alipata point 19. Lakini ni father mpaka leo
Wewe unaijua elimu ya yesu? Tuachane na yesu twende kwa akina yakobo yohana na petro elimu zao zipoje? Unajua wanawafuasi kiasi gani duniani? Basi tuwaache hao ni wakristo. Twende sasa kwa Mtume Mohamedi SW. Leta elimu yake hapa
 
kumbe harakati zoote za chadema zilianzia kanisani.
leo ndio nimeamini chadema ni chama cha kanisa
 
Mfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
Wanabwabwaja tu hao wabaguzi, mkataba umepitishwa na bunge na juzi mahakama kuu imeubariki. Hii ndiyo mihimili ya dola hiyo takataka ni kundi gani, km kazi ya kueneza injili inewashinda waanzishe chama cha siasa waite TEC.
 
Mfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?

1: Ulishawahi kufanya utafiti wowote?

2: Unajua jinsi ya kutafuta sampo saizi inayowakirisha jamii unayofanyia utafiti wa jambo husika?

3: Unajua jinsi ya kuandika hitimisho kulingana na ulichokipata?

Wewe unaekubali, jibu hizi hoja nami niungane nawe:

Hoja 8 muhimu za TEC

14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):

14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.

14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.

14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.

14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.

14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.

14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.

14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
 
Mimi siukubali hata kidogo.Ingekuwa amri yangu wote walioshiriki kuandaa,kuushabikia,kuingia makubaliano na kuupitisha ningewanyonga siku ya I Ijumaa mchana.

Sijui kama wewe ungepona.
Umeshapita sasa jinyonge wewe
 
Mfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
"....Tuna-uwezo wa kukusanya taarifa za Nchi yetu kwa mda mfupi sana na hii ni kwa sababu ya ukubwa wa Taasisi yetu.

Tambua, Kanisa Katoliki limeenea hadi ngazi ya kaya na kwalo sisi si Taasisi yenye kutamka jambo kwa kubahatisha!"

Padre Kitima (PhD).

Chanzo: DW Swahili.
 
Back
Top Bottom