Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Nendeni Rwanda kwenye mkono wa chuma, hao vibaka watathibiwa tu soon ni kawaida yao kuujaribu uongozi mpya.

Hata magu alivyoingia walimjaribu na ndio mwanzo wa kutoa hiyo kauli yake kwamba wanyang'anye silaha zao haraka haraka hao majambazi

So hizo habari za kutuambia sijui tutamkumbuka magu ni kauli za sukuma gang ambao itawachukua muda kuzoea kuishi bila semi god wao.

Mzoee tu.Mama chapa kazi, hata marekani ambapo kuna vyombo imara vya ulinzi na usalama kama vile F.B.I, C.IA, NSA, NATIONAL GUARD nk.lkn bado ujambazi haujakomeshwa.
 
Ipigwe kura ya siri kuwatambua majamnazi kama enzi ya lyatonga!
Tunaishi nao mtaani hawa!
Watu.10 hawawezi kukusingizia ujambazi!
 
Akili anayo! Wewe ndiye hauna akili.Mtanzania yeyote mwenye mapenzi na nchi yake lazima ataona tofauti kubwa na udhaifu wa serikali iliyopo na lazima ataikumbuka serikali iliyopita japo haiwezekani kuirudisha.
Watanzania au wewe peke yako?
 
Wewe ni taahira huna unalojua mbwa wewe
 
Wewe na mkeo Nani mwenye maamuzi ya mwisho linapokuja swala la uamuzi???
 
Hapa naanza kuona umuhimu wa Mzee wetu JPM, [emoji848][emoji848][emoji2960]
 
Mnatumia Akili zenu za kijinga kupotosha kauli za Rais
 
Mkuu ni kweli hujui nguvu ya rais kwenye vyombo vya ulinzi na usalama??
 
Kuna sehemu huelewi vizuri.
 
Kama kuna mtu hataelewa hapa, apelekwe hospitali.
 
Unataka kuhalarisha kitu gani wewe!!!!
Tulimsihi toka mwanzo kwamba hana sababu ya kuacha mazuri aliyoyafanya magu kwa maslahi ya taifa na wananchi.
Kama ni vikundi vinamjaribu yeye,sawa.sisi tunataka matokeo ya hatua.

Vinginevyo hakuna namna magu ataacha kutajwa tajwa kama mambo yataendelea kuharibika.
 
Dada mzuti unakuwasha sana,njoo nkupe kilambio
ndio maaana tunawaomba polisi wetu wasiwachekee,
peleka mochwari tu. sasa tuone kati ya Majambazi na na Polisi nani zaidi.

Pia tunaomba wakisha uwawa au kukamatwa picha zao ziwe zinasambazwa ili tuwafahamu hata ndugu zao wanao lea majambazi na hawataki kuwafichua au kutoa taarifa polisi.
 
Unafikiri huo uliisha. Tatizo ilikuwa nani atathubutu kuripoti?
Una maana watu walikuwa wanapigwa risasi na majambazi na kufa, ndugu zao wanakaa kimya na kuzika kimya kimya. Kweli?
 
vijana wa BODA BODA hawa, ndio wancheza hizi vitu
 
Hujapendekeza solution yoyote mkuu,umeelezea tatizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…