othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Nendeni Rwanda kwenye mkono wa chuma, hao vibaka watathibiwa tu soon ni kawaida yao kuujaribu uongozi mpya.mkuu TRA wanasoma hadharani,kwamba tumewaachia watuhumiwa 126 WALIOKUA WAMEFUNGWA KWA KESI ZA KUBAMBIKIWA,unadhani polisi wanakuwa na ujasiri wa kushughulika na mharifu kinyume na sheria????hapo ndipo wananchi wanaendelea kukobolewa sasa.
binafsi nimsisitize mama,kama hataruhusu mkono wa chuma,mengi na mabaya tutayashuhudia sana utawala wake.
kuna mambo kwa asili yake tu hayataki siasa na tafadhali nyingi.unaharibu.
Hata magu alivyoingia walimjaribu na ndio mwanzo wa kutoa hiyo kauli yake kwamba wanyang'anye silaha zao haraka haraka hao majambazi
So hizo habari za kutuambia sijui tutamkumbuka magu ni kauli za sukuma gang ambao itawachukua muda kuzoea kuishi bila semi god wao.
Mzoee tu.Mama chapa kazi, hata marekani ambapo kuna vyombo imara vya ulinzi na usalama kama vile F.B.I, C.IA, NSA, NATIONAL GUARD nk.lkn bado ujambazi haujakomeshwa.