cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Tobaaaah!! Jaman khaaaah [emoji24][emoji24][emoji24]Jimmy ameacha mke mwenye mimba kubwa ya kujifungua leo au kesho na watoto 2 dogo
So sad aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tobaaaah!! Jaman khaaaah [emoji24][emoji24][emoji24]Jimmy ameacha mke mwenye mimba kubwa ya kujifungua leo au kesho na watoto 2 dogo
So sad aisee
Ameeeeeeen.Mambo ya kijinga yameanza kwa kasi bongo land.
Hii nchi inahitaji kiongozi mwenye maamuzi ya bila kumuonea haya mtu.
Pumzika kwa amani Jembe.
Haweziiiii kutaamka neno kuuwawa mahali popote hiyo ndiyo tofaouti ya ukauzu na upole.Mama atoe tamko!majambazi yote kuuawa mahali popote hata kama hawajafanya tukio lolote!!
Ameshasema mbona au asemaje? Kasema kipimo Cha RPC Ni kuondoa majqmbazi, wakishindwa anawaondoaAnashindwaje
Mama anashindwaje kumuagiza IGP kuwaondoa mara moja marpc wanaoshindwa kudhibiti uharifu wakati wamepatiwa kila kitu
Wateule tumerudi Tena...Gwanyoko. Subiri risasi ndio sahizi yakoTumerudi TENA tumerudi TENA.
Duh laki tano ndio wanamtoa roho mshikaji?! Hao ni vibaka sio majambazi.Jamaa alienda kutoa laki 5 huku kabeba briefcase wakajua katoa pesa nyingi
Amewaza na kundika kwa hofu sana. Yaani utadhani hao JWTZ sio wanadamu ni marobot au miili yao haipitishi risasi.wewe mndengereko unajua mgawanyo wa majukumu au umeongea tu pumba hapa.JWTZ hawezi kuingilia kazi za polisi.Hapo kikubwa tuwape rai polisi wetu waendelee na ile mbinu yao 'catch to kill'
Serviceman wa std 7 atayajulia wapi hayo mambo ya mgawanyo wa majukukumu.Hajui OP nyingi nchini zinapigwa na hao jwtz na polisi.Amewaza na kundika kwa hofu sana. Yaani utadhani hao JWTZ sio wanadamu ni marobot au miili yao haipitishi risasi.
Ni shida ya kutofahamu majukumu ya taasisi mbali mbali za serikali.
Very Correct...Kuna banker kauza ramani.
Sijapotosha kama unabisha huyo mama alikuwa anafanya kazi chuo kikuu alipigwa risasi na tulimzika last year wanaishi karibu na Hospital maarufu Tegeta.Acha kukuza mambo tumeumizwa hata sio sasa nikipindi cha JPMUmekomaa kupotosha......!!?
Sasa tangu samia ametawala kuna jingine.Msikuze mambo enzi za JPM wengine walipotea kabisa na mifuko kuokotwa bahariniNi hilo moja tu, acha kujazia.
Sawa kwa sababu wewe ukupoteza ndugu yako kipindi chaJPM.Muda Utaongea tu.
Endelea kushupaza shingo.
Hapa hatuna kiongoz
Hujui lolote......Sasa tangu samia ametawala kuna jingine.Msikuze mambo enzi za JPM wengine walipotea kabisa na mifuko kuokotwa baharini
JPM ali deal na wezi,wauza, ngada wakwepa kodi....kama uliumizwa basi ulikuwemo kwenye mfumo wa kihalifu...Sijapotosha kama unabisha huyo mama alikuwa anafanya kazi chuo kikuu alipigwa risasi na tulimzika last year wanaishi karibu na Hospital maarufu Tegeta.Acha kukuza mambo tumeumizwa hata sio sasa nikipindi cha JPM
Muulize mama yako enzi akiwa girlfriend wangu akuambie wakati anakuja home nilikuwa naishi wapi... mwanamke mwenye busara yule ilikuwaje akaja akazaa poyoyo?We ni mpumbavu unaishi Tandale kwa shemeji yako huwezi jua kinachozungumzwa humu.
Acha hizo unafikiri kila mmoja ana shida zinazofanana ! Ni uzembe wa polisi tu ndio haya yanaanza kutokea.