Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Anashindwaje

Mama anashindwaje kumuagiza IGP kuwaondoa mara moja marpc wanaoshindwa kudhibiti uharifu wakati wamepatiwa kila kitu
Ameshasema mbona au asemaje? Kasema kipimo Cha RPC Ni kuondoa majqmbazi, wakishindwa anawaondoa
 
Jamaa alienda kutoa laki 5 huku kabeba briefcase wakajua katoa pesa nyingi
Duh laki tano ndio wanamtoa roho mshikaji?! Hao ni vibaka sio majambazi.

Sasa hiyo laki tano watashare vipi maana hapo hata wakiwa wawili tu tayari mgao ni hasara tupu. That mission was a fucking nutcase plan.
 
wewe mndengereko unajua mgawanyo wa majukumu au umeongea tu pumba hapa.JWTZ hawezi kuingilia kazi za polisi.Hapo kikubwa tuwape rai polisi wetu waendelee na ile mbinu yao 'catch to kill'
Amewaza na kundika kwa hofu sana. Yaani utadhani hao JWTZ sio wanadamu ni marobot au miili yao haipitishi risasi.

Ni shida ya kutofahamu majukumu ya taasisi mbali mbali za serikali.
 
Amewaza na kundika kwa hofu sana. Yaani utadhani hao JWTZ sio wanadamu ni marobot au miili yao haipitishi risasi.

Ni shida ya kutofahamu majukumu ya taasisi mbali mbali za serikali.
Serviceman wa std 7 atayajulia wapi hayo mambo ya mgawanyo wa majukukumu.Hajui OP nyingi nchini zinapigwa na hao jwtz na polisi.
 
Sijapotosha kama unabisha huyo mama alikuwa anafanya kazi chuo kikuu alipigwa risasi na tulimzika last year wanaishi karibu na Hospital maarufu Tegeta.Acha kukuza mambo tumeumizwa hata sio sasa nikipindi cha JPM
JPM ali deal na wezi,wauza, ngada wakwepa kodi....kama uliumizwa basi ulikuwemo kwenye mfumo wa kihalifu...
 
Acha hizo unafikiri kila mmoja ana shida zinazofanana ! Ni uzembe wa polisi tu ndio haya yanaanza kutokea.

Na uzembe pia wa sisi wananchi mkuu....kwahiyo ukichukua hela bank inabidi askari akusindikize mpaka unapoenda? Tutumie technology kuepuka maafa,kuna jamaa alipigwa risasi akanyangwanywa mil 10 alikuwa anaenda kulipa mabati Nabaki Africa ,sasa kulikuwa na ulazima wa kuchukua cash na kwenda nazo nabaki? Si angefanya Bank Transfer tu?
 
Back
Top Bottom