Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

huyo mzee ni tajiri kuliko huyo unayesema amjengee ni vile unakaa online na haumfahamu mzee
Ndo namshangaa uyu mzee sisi kwa sisi ni tajiri wa miaka mingi ana mashamba ya miti huko njombe makubwaaa.ata apo mjini kajenga sana tuu sema apo kwenye iyo Lodge ya sisi kwa sisi ndo maarufu sababu ata simba na yanga hufikia hapo
Huuwahujui wakinga wewe funga mdomo
 
Mbona watu wa Kaskazini wa Kilimanjaro na Arusha wameweza, mbona Mzee Mengi alijenga hekalu kijijini na hakuwa na show off, huyu jamaa ni msumbufu tu hapa Mjini biashara za ulozi na uchawi tu, chini ya kapeti marehemu katolewa kafara
Wapi wameshindwa??
Umefika vijiji vyote vya Tanzania ukakosa hayo mahekalu?
 
Kwa nini mnawakasirikia na kuwaonea wivu makahaba na mabinti wa chuo wasiowahusu??
 
Tena heri nyie wa kiume mnapewa kachumba ka kujisitiri, sie wa kike ndo nehiii utalala kibarazani,,,

Kujenga jenga pale kwenye ardhi unayomiliki kwa jna lako tofauti na hapo ni kutafuta matatizo endelevu
 
Mkuu wanabadilika hata ukiwalea vizuri. Ni vizuri uwe na watoto zaidi ya wanne. Angalau wote hawatabadilika mmoja atakukumbuka.

Nimeshuhudia kwa macho yangu kwa jirani yangu.
Unajidanganya, ipo familia mzee mmoja alidhani kuzaa wengi ndo kuishi kifalme, 30+ uzao wake huo,, kinachompata sasa natamani nikupe namba yake akusimulie,

Nyumba tu hakuna anaejitolea kujenga sababu hawajui nani atarithi, hakuna mke ypyote anayeishi nae katika wote aliozaa nao,

Hakuna mtoto wala mjuku yoyote anayeishi nae,

Anajuta na kuwasihi wanae hasa wa kiume wasifate njia aliyopita yeye,,
 
Wewe dg kwani we uko wapi
 
Nilichogundua Watanzania wengi wanaishi kwenye kundi la Umasikini haiwezekani wanajadili kitu cha chini ya 80m kama familia na wanakomaa hapana kwani lazima.

Yaani wewe umegundua leo?

Imagine mtu ni mwalimu Analipwa laki 8 kwa mwezi, Amepata kazi akiwa na umri wa miaka 29.

Atajipata lini ajenge nyumba ya wazazi wake, na ya kwake? Labda akope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…