Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mimi nilijifunza kutoka kwa Marehemu Kisangani alijenga nyumba ya Mama yake hapo Brock T mbeya gorofa kali akamtoa huko Tukuyu akamuweka pale na wajomba zake akawafungulia maduka makubwa ya parts ili wamtumze Mama yao jamaa ukiongea nae yeye na mdogo wake wanafanya vitu kwa kuchukia umasikini kwenye familia leo hii 2026. Wana JF wanajadili matumizi ya 100m kushuka chini aisee pana watu wamedumaa kifikra sana aisee na wanaishi kwenye wimbi la umasikini kutwa kuja kutuuliza hii paso ninunue daah huyu mtu atajenga nyumba ya familia lini wazee tuwateme hawa watu..Yaani wewe umegundua leo?
Imagine mtu ni mwalimu Analipwa laki 8 kwa mwezi, Amepata kazi akiwa na umri wa miaka 29.
Atajipata lini ajenge nyumba ya wazazi wake, na ya kwake? Labda akope
Hao ni wakinga ambao anasa siyo desturi zao.Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.
Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!
Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.
Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Wewe na mleta uzi hamna kazi za kufanya mnaenda misibani kuangalia watu walikua wanaishije na siyo kwenda kuzika, mnakaa mitandaoni kujadili maisha ya watu badala mpambane na maisha yenu au kuna tuzo ya umbea mnashindania?Machawa Wakina ChoiceVariable ERTUGRUL BEY Troll JF funaku Lucha wanasema uchumi ni mzuri sana na unameremeta na watu wameshiba wamejaza matumbo ndi.
Kaka hii bila shaka ni made from Bukoba,maana sio kwa Tambo hizoHakuna mtu anayesema wazazi wasihudumiwe na watoto, elewa kusoma kwa ufahamu.
Na hili si suala personal ni hoja dhahania, ya kifalsafa.
Kama tunataka kuongea personal,
mzazi wangu ana real estate porfolio ya zaidi ya dola za Kimarekani milioni tano na ana jumba Mbezi Beach anataka kuligawa liwe makazi ya watoto yatima.
Alijenga nyumba zake huko alikotoka na mjini Dar kabla sijazaliwa.
Na mimi pia nilijenga nyumba kabla ya mwanangu kuzaliwa.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Matatizo ya kujenga nyumba katika familia yetu tukishayamaliza.
Sasa hivi tuna tatizo jipya, majumba tuliyojenga tuyafanyie nini?
Ni majibu tu mkuu.Kaka hii bila shaka ni made from Bukoba,maana sio kwa Tambo hizo
Nimependa hapo uliposema 'hata nyumba unayoishi wewe kuna watu wanaona haifai kabisa kuishi binadamu'..mkuu una maanisha nn kusema "nyumba nzuri inaonekanaga"?..kila nyumba ni nzuri endapo tu anayeishi ameridhika nayo..ukija na kigezo cha sijui "kuonekanaga" kuna mtu anaweza kusema hata nyumba unayoishi wewe ni mbaya haifai binadamu kuishi just because amewahi kuona & kuishi nyumba nzuri kuliko unayoishi..!.kukosoa makazi kwa vigezo vya muonekano wakati anayeishi hajawahi kuona shida ni kumkosea mwenye nyumba maana hata nyumba unayoishi wewe kuna watu wanaona haifai kabisa kuishi binadamu kitu ambacho hutapenda kusikia!
Eti kusimamia kucha..π€£π€£ Ninajaribu kuvuta picha ya huo msemo na uhalisia wake...ni hatariAkili za kiafrika ndio hizo, mtu hashughuliki na ya kwake anaishia kusimamia kucha kile anachokifanya jirani yake.
Punguza matarajio mkuuHapana Mkuu.
Nilitegemea kuona utofauti kidogo siyo kwa mbwembwe zile za Mjini anazotutambia mkuu, si Bora uishi key low profile tu, haya wasanii wanashangaa hata mademu aliowakula wanashangaa, hapa Iringa Mjini tunapishana na Magari ya wasanii na watu Maarufu tu, lakini na wao wameshangaa, eti Familia imegoma picha mgando na mjengeo zisichukuliwe.
Mkuu, siku hizi ukiona Coaster imejaa waombolezaji inaenda kuhani msiba basi aminia >80% ni wakusanya data za jamaa kwao vipi??Yani kweli kabisa umeenda msibani kwa watu kuwachunguza, kuwaanika na kuwatweza utu familia ya watu?
Changamoto aseeh πMkuu, siku hizi ukiona Coaster imejaa waombolezaji inaenda kuhani msiba basi aminia >80% ni wakusanya data za jamaa kwao vipi??
Tuna tatizo kubwa sana kama nchi.Mkuu, siku hizi ukiona Coaster imejaa waombolezaji inaenda kuhani msiba basi aminia >80% ni wakusanya data za jamaa kwao vipi??
Nafikiri wengi wanaozungumzia kujenga kijijini ni watu waliozaliwa huko na wazazi wao bado wanaishi kijijini.Ukisoma huu uzi utawajua waliojenga vijijini kwao. Na uatawajua wapiga kelele na wasumbufu wa mjiniπ π π π π π
Wasumbufu wa mjini wamekuwa wakali kweli kweli
Watu wabaya ndugu yangu.Eti kusimamia kucha..π€£π€£ Ninajaribu kuvuta picha ya huo msemo na uhalisia wake...ni hatari
Dah..waswahel mna mambo.
Siungi mkono hoja ya kutowagengea nyumba wazazi, ila kuna jambo la msingi sana la kuangali kabla ya kutoa hukumu...Ushiriki wa wazazi katika MALEZI/MAKUZI ya mhusika.Ila tajiri mkubwa Fred Vunjabei, yaani hata nyumba ya milioni 100 ameshindwa kumjengea baba yake?
Hakuna utetezi wa kutojenga nyumbani kwa wazazi
Kumjengea mwanaume mwenzangu siwezi. Yaani Mimi nina makende mawili naye hivyo hivyo halafu nimjengee!? Kwa hakika siwezi.Uzi ufungwe Ila huyu mnyaturu mix mgogo ujenge kwenu wewe secretarybird
Huo ni uzembe wake halafu pia ni dharau sana kwa dingi ukimjengea kila mtu atimize wajibu wake!Kumjengea mwanaume mwenzangu siwezi. Yaani Mimi nina makende mawili naye hivyo hivyo halafu nimjengee!? Kwa hakika siwezi.
Kwanza nikimjengea ataona nimemdharau na kumwona towashi.Huo ni uzembe wake halafu pia ni dharau sana kwa dingi ukimjengea kila mtu atimize wajibu wake!