Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Huyo hajakamatwa, bali kachukuliwa kwenda kuisaidia Polisi ili kusaidia kupatikana kwa haki ya huyo aliyewekwa ndani kwa kesi ya mauaji wakati hajaua.
 
Duh ndio imemletea shida?
 
Wakamgonge kwanza,akitoka atatulia,hashua zitakua zimeisha
 
Sasa hio post yake ndio imemletea sintofahamu sometimes Uhuru ukizidi sana ni mbaya sana,
 
Huyu Mdude,ni mmoja ya wanaharakati wanayokiharibia Chama Cha Chadema kwasababu analugha isiyo ya staha na ya kuudhi Kwa wengine Kwa mgongo wa Demokrasia,jambo ambalo si sahihi hata kama hukubaliani na wengine ila kuna lugha ya kufikisha ujumbe,hata tweets zake,unaona ni ngumu kuheshimika hata kama anahoja
 
Mdude hana busara kabisa. Huwa anayarafuta matatizo kwa nguvu zake zote. CHADEMA wanamjaza ujinga huyu kijana.
 
Yaani kukamatwa Kwa MDUDE Nyangali mmoja kunazimwa na mabadiliko ya mawaziri wawili!!!!

ALUTA CONTINUA.
 
Mdude ni jitu la hovyo kabisa
 
Nakusikia.
Huyo Mdude alikuwa akipiga kura ndio akamatwe?

CHADEMA mtasema mengi, mtasengenya, mtabeza...lakini mwisho wa siku hakuna atakaye wachagua.

Wanaochaguliwa ni wale wanaoletewa mabox ya kura kwa uratibu wa vyombo vya dola ili watangazwe washindi kwa shuruti.
 
Huyu hajapewa asali ya maridhiano naona yeye na Heche ndio wanatumia Lissu yupo kwenye waiting list akilipwa tu na mikutano itakwisha

Tulimuonya raisi Samia kuwa hawa barvicha hawa bebeki akaleta upemba ona sasa

USSR
Acha hizo ulimuonyea wapi?
Acha kujipa umuhimu usio wako dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…