Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
Afadhali wamemkamata hawaja mteka. Na hatutegemei kuona wamemtesa badala yake watamfungulia mashtaka kwa mujibu wa tuhuma alizonazo.

Sheria za nchi bado ziko pale pale. Sisi wapenda haki tulikuwa tunapingana na uke utekaji, utesaji, na mauwaji.

Tunaunga mkono utekelezaji wa sheria za Nchi kwa kanuni zilizopo.
 
Nadhani swali la kuuliza kabla ya shutuma zozote ni Kwanini Amekamatwa ?

Hapo ndio taendelea kutia neno....
 
Tuna.koerekeya chamacha mapiduzi tuta ki.choka. tunataka kahibamupya.tumika taa uwonevu dunataka katibamubya.
 
Kumbe kauli tu hiyo ndio imemkamatisha?

Kamanda Murilo aliongea kwa utani tu nadhani.

Lakini kiukweli Watanzania hawahitaji Lifti ya polisi wanahitaji kuona mifumo ya utendaji wa kipolisi ikiwa ya haki na kwa wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…