Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Acha kutia mikosi kinywaji cha baraka, pombe ni maji ya uzima, kuhusu mademu maputo yapo mengi tu mtaani viviyuuu itasubiri sana.Wewe kurukia mademu na pombe maUTI na Kaswende zitakuwahi kwa haraka sana.
Kuvuja kwa skendo ya demiss na zile picha zake.Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka?
Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi!
Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF?
Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani.
Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako mkali? Au kipindi kile Makonda na Zitto wako active huku.
Unahisi saivi makali ya nyuzi ndani ya JF yamepoa au ndio yameongezeka.
Any story unaeza share.
Chai
Robert Heriel Mtibeli mbona toka kitambo anatoa madini humu na hamna tabia za hovyo na za kitoto kwenye nyuzi zake ?
liamshe basi unatuweka roho juu wambea ππUle Uzi hausikii dawa wala maombi ni humu tu..!! πΉπΉ
Umenisababishia ban nyingi sana ule.
Siku kesi ya Samia ikianza naenda kuufufua kwa kishindo mana nna miubuyu mizito na mimi kutunza siri za watu ambazo wenyewe wameshindwa kuzitunza mhmm SIWEZIII
NAYAMWAGA MWENYE PURESHA ATAPAMBANA NA HALI YAKE..!! HAIIYAAAA π€ΈββοΈ
mnamaanisha bwana msafi au ππMbona wewooooooooo!!!! πππππππ
Nikajua umepitwaaaa, kumbee humu tuu humu tuu.
Hii ilinipita,vipi kitumbua kilikua kimenona?..sura yake ilionekana?Kuvuja kwa skendo ya demiss na zile picha zake.
Marayaaaa πππnimelimiss sana JLW
if you know, you know π
Kweli once a whore πππJLW (R.I.P)π€£π€£π€£π€£π€£
Kweli Kuna mengi ya kumbukumbu Kuna mtu alikua yupo jukwaa la Dini alikua wa moto sana anatoa parables unasema mtakatifu Petro tunae huyu hapaπ€£π€£. Na jukwaa la JLW unamkuta pia yupo moto zaidi, alikua ananichekesha sana ukimuuliza anasema Ya kaisari mpe kaisari ya Mungu mrudishieni Mungu..
multiple Certified Hater once a hoe always a hoe.π€£π€£π€£
Oyaaa alikuwa demu Gani tena !?Hahaha ngumu kusahau maana hakuna aliyeamini kama Demu ni mke wa MJEDA halafu anagawa mbususu nje na huko nje akiaminisha kwamba hana mtu.....lile tukio lilikuwa la hatari sana ngumu kufutika .ni ujasiri wa hali ya juu.
πΉπΉπΉliamshe basi unatuweka roho juu wambea ππ
Na akasema Gi-Le_Thi inye inatikisika.Mzee Bujibuji kujifanya pisi-kali.
Naona heshima inashuka kwa Kasi sana.
Nilikuacha shule .Naona heshima inashuka kwa Kasi sana.
Mzee wa kumweka mweka π KitoabuGame theory,Superman,Mzee wanakijiji,Nyau Ngabu,kitoabu,Cheusimangara,Lizzy
Hao wachache tu kuna mashoga pia humu cocastic akasome ni nursery kwenye lever yao.
πππ DahNa akasema Gi-Le_Thi inye inatikisika.