Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Jibu swali kwanini kwenye koo za kiyahudi wanawake walikuwa hawatajwi kama wanawajali? shida ni kupingana na ukweli usifananisha maisha ya sasa na ya kale, yule Yakobo alikwenda kuoa mtu na dada yake wa tumbo moja, kwa jamii ya sasa ni mzazi yupi anaweza kufanya hivyo ? shida unaangaika kutetea jambo ambalo ni halisi utapata tabu sana, Mfalme Sauli wa Israel alimuozesha mwanae kwasababu za kitawala tu na kumuogopa Daudi ambaye alikuwa masikini, acha kulazimisha zama zifanane
 
Kwa hili la kumuozesha mtoto wa miaka 9, wallah acha tu nikwame kiakili, niwaache nyie wenye akili muendelee kuozesha watoto wenu wenye miaka 9.
Nenda uko ambako Mungu alipigwa na viumbe alio waumba wenyewe
 
Mtoto wa kike anaweza kuolewa kwa kuvunja ungo tu hii ndio sheria ya asili, haya mengine yetu binadamu
 
Suhendra, mtoto wa miaka 9 akiolewa, shule anakuwa amesoma muda gani?

Au kwenye uisilamu mtoto wa kike hatakiwi kusoma?
Mnashindwa kuelewa jambo moja wakati sheria hizi zinatoka wanawake walikuwa ni daraja la chini sana hapa duniani, ndio maana hata kwenye koo walikuwa hawawekwi, wanasubiri wavunje ungo wakaolewe
 
Ilikua ni lazima kumfanya mke ili kutimiza hilo?

Kwanini hakua tu mlezi wa kiroho? Mwalimu/Kiongozi kwa hayo manufaa ya baadae?
 
Kwahili la kumuozesha mtoto wa 9, wallah acha tu niende..!! Huyu wa miaka 9 ni wa la tatu B ujuwe..!!
Kila la kheri ili letu kafanya binadamu mbona linavumilika, kitendo cha Mungu kupigwa na wahuni hakivumiliki
 
Hapo hapo Bado wanawake wa kiislamu wanadai uislamu unawaoa nguvu sana.
Niliona sheikh mmoja aliulizwa wanawake watapewa nini huko mbinguni? Akadai eti watapata vitu vizuri mno ambavyo hata havijatajwa popote..
Mambo ya kijinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…