ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Jibu swali kwanini kwenye koo za kiyahudi wanawake walikuwa hawatajwi kama wanawajali? shida ni kupingana na ukweli usifananisha maisha ya sasa na ya kale, yule Yakobo alikwenda kuoa mtu na dada yake wa tumbo moja, kwa jamii ya sasa ni mzazi yupi anaweza kufanya hivyo ? shida unaangaika kutetea jambo ambalo ni halisi utapata tabu sana, Mfalme Sauli wa Israel alimuozesha mwanae kwasababu za kitawala tu na kumuogopa Daudi ambaye alikuwa masikini, acha kulazimisha zama zifananeMariamu alichumbiwa akiwa na miaka mingapi ?
Leo umeona Wayabudi wanaoza vitoto vya miaka 9 ?
Mfano wako kwa Ndoa za Wayahudi unautoa wapi.
Wayahidi kwa taarifa yako ndiyo jamii inayo jali sana elimu.
Mabinti wengi wa Kiyahudi ni lazima wasome maarifa ya dunia nadhani unawaona kwenye Majeshi na nyanja nyingine za kitaaluma.
Wacha kuwazungumzia Wayahudi jamii inayo thamini elimu kwa kila raia wake.
Ongelea hao wanao pitisha sheria za kununua vibinti vichanga toka katika familia masikini ili wafurahie zoezi la kuvibikiri.
Na wakisha vibikiri wana vifunika majuba na ndio mwisho wa kuvipatia Elimu.
Familia inayo jitambua haiwezi kufanya huo ujinga.
Kitoto cha miaka 9 unakioza badala ya kukipa elimu huo ni umasikini wa mali na fikra.