Nchi inafunguka, naona back door inaenda kuinufaisha Zanzibar kupitia kupigwa mnada bandari ya Watanzania
 
ZANZIBAR NI KAMA MKOA

..Ni kama " mkoa " lakini serikali ya jamhuri haina mamlaka kugawa rasilimali zake.

..Zanzibar wakiamua kuuza bandari yao uamuzi hufanywa na serikali ya Zanzibar, na Raisi na Waziri kutoka Zanzibar.

..sasa hivi bandari ya Tanganyika inauzwa, lakini wanaosimamia ni raia[ Samia, Makame Mbarawa] toka Zanzibar.
 
Lazima watuuze sisi kwaajili ya survival yao
 
Mama ni muOman kaamua kuwapa bandari ndugu zake wa Dubai DP WORLD halafu Waarabu na Makanjibai wanavyo ongoza kumiliki vitalu vingi vya uwindaji na kununua ardhi za Hifadhini tutarajie ongezeko kubwa sana la uwindaji haramu na usafirishaji wa wanyamapori na nyara za taifa.
 
Tanganyika tunafungwa minyororo ya utumwa kwa Mara nyingine why not Zanzibar? TunatakabTanganyika huru!Tanganyika huru no Sasa!!!!!!!!!!?watanganyika amkeni! amkeni!amkeni! Huko mliko acheni Mambo za kushangilia Simba na. Yanga,Tanganyika kwanza! Tanganyika ni kubwa kuliko Simba na Yanga,kwenye ubinafsishaji watanganyika hatujawahi kufanya vizuri,tukipigwa Sana,tuliibiwa saaana,rejea ubinafshaji wa NBC,TRC,RICHMOND,IPTL,,ATCL,TIPER,kote huko tukipigwa saan,Hawa viongozi Hawana uchungu na raslimali za nchi hii,wanafanya Mambo Kama wanajiandaaa kufa kesho,wasitegemee kuishi Tena kesho,Amkeni watanzanzania Sera za kukunana migongo zimeanza Tena Bora magufuli alizikataa AMKENIIII
 
It is too sad, mimi kufanya kitendo cha wizi nikiwa na akili zangu timamu kweli siwezi kwan sitoweza kuisustain aibu ya wizi tena hasa huo mmama lijizi??
 
Sa100 must go!!!!

Amejua hakubaliki, hagombei anataka kutuachia manyoya!!!!
 
FaizaFoxy anasema eti zanzibar walishaingia hiyo mikataba zamani! Spinning at work!
 
Na ndio ubaya wa Tanganyika kusahau mambo ya msingi na kushadidia upuuzi
Ngoja muwekewe Derby la simba yanga mtasahau yote
Ngoja mletewe matamasha ya wasani
Wazunguke mikoa yote mtasahau kila kitu
[emoji1]

Ova
 
Ngoja muwekewe Derby la simba yanga mtasahau yote
Ngoja mletewe matamasha ya wasani
Wazunguke mikoa yote mtasahau kila kitu
[emoji1]

Ova
Sasa wanatafuta Cha kutuvuruga tutoke kwenye reli.

Kuna watu wako kitengo maalumu kabisa kuorganize hizi ishu
 
Members Toka Lumumba Buku Saba Njooni Huku Chama Kimeshika Hatam (Patamu)
Uza Uza Chochote Isipokuwa Zanzibar Tu, Pesa Za Uviko Walipata Zote
 
Alimaanisha nchi ya Afrika nzima kama bara. Ujue Kagame baada ya Gaddafi kutoweshwa, huwa anajihesabu kama rais pekee wa Afrika nzima; hawa wengine wote ni wakuu wa majimbo yake 52.
 
Hapa tunakwenda kuachiwa zigo la mavi alafu watu wasepa kurudi kwao zanzibar ambako hakuna mkataba kikenge kama huo.Naiona hatari ya kuizika Tanganyika kwa miaka mia moja (100) hatari sana,kweli Urais ktk Afrika ni ulevi wa kupindukia,ukiwa Raisi unakuwa kama vile umelewa pombe ambayo haiishi kichwani.MUNGU atunusuru kwa mikataba ya kipumbavu kama hii.
 
Hivi upumbavu wa hivi watanzania tutaachaga lini,mbarawa unawaza kama unakufa kesho uache umeiuza Tanganyika halafu wanaobak watajiju,watanganyika amkeni!!!!!!! Kataeni
 
Bandari za bahari, maziwa yote nchini Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…