Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Na ndio ubaya wa Tanganyika kusahau mambo ya msingi na kushadidia upuuziWatapiga kelele then watasahau... watarudi kumjadili Diamond na Zuchu sie tushapiga hela kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio ubaya wa Tanganyika kusahau mambo ya msingi na kushadidia upuuziWatapiga kelele then watasahau... watarudi kumjadili Diamond na Zuchu sie tushapiga hela kama kawaida
Thubutu yao! Nje ya Muungano wanajua jinsi watakavyo tembezeana majambia!Si wanataka talaka na nyie hamtaki
ZANZIBAR NI KAMA MKOA
[emoji38] mkuu hawa hawawezi kupigana ni wapole kupita kiasiThubutu yao! Nje ya Muungano wanajua jinsi watakavyo tembezeana majambia!
Lazima watuuze sisi kwaajili ya survival yaoMiongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Mama ni muOman kaamua kuwapa bandari ndugu zake wa Dubai DP WORLD halafu Waarabu na Makanjibai wanavyo ongoza kumiliki vitalu vingi vya uwindaji na kununua ardhi za Hifadhini tutarajie ongezeko kubwa sana la uwindaji haramu na usafirishaji wa wanyamapori na nyara za taifa.Mapato yatakayotokana na bandari za Tanganyika ni ya muungano na Zanzibar inapata mgao wake achilia mbali mgao wa 4.5% BoT kwa pato linalotokana na rasilimali za Bara.
Sasa hivi Zanzibar wanampango wa kulipa wajumbe wa nyumba kumi mishahara. Tayari wazee wanalipwa pensheni na waliobaki wanatumia umeme bure. Hapo hawajui gharama za ulinzi , mambo ya ndani na nje au taasisi zingine za muungano.
Huyu Mbarawa anakuwaje waziri wa jambo lisilo la muungano? Sasa Rais wa JMT ni Mzanzibar, Rais wa SMZ ni Mzanzibar na Waziri ni Mzanzibar. Nani anamtetea Mtanganyika kwa usawa huo.
Uuzwaji wa bandari hauna uchungu isipokuwa kwa Watanganyika.
Nyerere, Mkapa, Kikwete , JPM walijua hilo hawakuwahi kufikiria. Walijua ni rasilimali na hazina za Watanganyika
Mwinyi aliuza Loliondo ''ujombani'' akiwa na Waziri Diria. Historia bwana!
JokaKuu Pascal Mayalla
Sa100 must go!!!!Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
FaizaFoxy anasema eti zanzibar walishaingia hiyo mikataba zamani! Spinning at work!A huge miscalculation by SSH. Watanzania (watanganyika) wameibiwa sana kwa mgongo wa ubinafsishaji, yaani serikali inatumia matrilioni kuwekeza kwenye kitu alafu mwisho wa siku wahuni wachache wanapiga dili na kuuziwa kwa bei za kutupa.
Imetokea tena na tena na tena, ATCL, TTCL, TRC, NBC, mashamba ya serikali, nyumba za serikali, viwanda vya serikali na mengine mengi. Bado CCM haijifunzi tu??
Ngoja muwekewe Derby la simba yanga mtasahau yoteNa ndio ubaya wa Tanganyika kusahau mambo ya msingi na kushadidia upuuzi
Sasa wanatafuta Cha kutuvuruga tutoke kwenye reli.Ngoja muwekewe Derby la simba yanga mtasahau yote
Ngoja mletewe matamasha ya wasani
Wazunguke mikoa yote mtasahau kila kitu
[emoji1]
Ova
Alimaanisha nchi ya Afrika nzima kama bara. Ujue Kagame baada ya Gaddafi kutoweshwa, huwa anajihesabu kama rais pekee wa Afrika nzima; hawa wengine wote ni wakuu wa majimbo yake 52.Bandari za Zanzibar nadhani kwa sababu ni ndogo na hazihudumii mizigo mingi kama za Tanzania Bara !!
Nakumbuka Rais Kagame alipata kusema anaweza kuendesha Nchi kwa kutumia mapato ya Bandari na Utalii tu !! 😅😅
Sijui alikuwa anakusudia Nchi ipi ya hapa Afrika mashariki !
Hapa tunakwenda kuachiwa zigo la mavi alafu watu wasepa kurudi kwao zanzibar ambako hakuna mkataba kikenge kama huo.Naiona hatari ya kuizika Tanganyika kwa miaka mia moja (100) hatari sana,kweli Urais ktk Afrika ni ulevi wa kupindukia,ukiwa Raisi unakuwa kama vile umelewa pombe ambayo haiishi kichwani.MUNGU atunusuru kwa mikataba ya kipumbavu kama hii.Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Bandari za bahari, maziwa yote nchini TanganyikaMiongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Umeonaee !!Si wanataka talaka na nyie hamtaki