Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.

Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?

Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Ni hatari sana hii.
Bandari ya Dar kubinafsishwa na mkataba wa Siri na usio na kikomo.
Ila Wazanzibari , Mungu anawaona.
 
Alafuu lisu anasimama kifua mbele kutetea huu ujingaa...hata accasia alikuwa anawatetea kabisaa yani jamaa kanitoka haswaaa.
 
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.

Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?

Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.

Usije kataa kuwa comment yako ina ukabila au udini kwa sababu nashangaa sana sana kuwa unapiga kelele juu ya bandari ya Dar kupewa waarabu (kama mnavyowaita) lakini hukupiga kelele wiki tatu zilizopita wafaransa walipopewa bandari ya zanzibar. Kama ulivyesema wewe mwenyewe bandari ni sehemu ya muungano sasa kwa nini wewe kama mtanzania huku uliza lolote? I bet hata hadi unasoma comment yangu hukujua kabisa kama bandari ya zanzibar wamepewa wafaransa, come on be honest!
 
Mapato yatakayotokana na bandari za Tanganyika ni ya muungano na Zanzibar inapata mgao wake achilia mbali mgao wa 4.5% BoT kwa pato linalotokana na rasilimali za Bara.

Sasa hivi Zanzibar wanampango wa kulipa wajumbe wa nyumba kumi mishahara. Tayari wazee wanalipwa pensheni na waliobaki wanatumia umeme bure. Hapo hawajui gharama za ulinzi , mambo ya ndani na nje au taasisi zingine za muungano.

Huyu Mbarawa anakuwaje waziri wa jambo lisilo la muungano? Sasa Rais wa JMT ni Mzanzibar, Rais wa SMZ ni Mzanzibar na Waziri ni Mzanzibar. Nani anamtetea Mtanganyika kwa usawa huo.

Uuzwaji wa bandari hauna uchungu isipokuwa kwa Watanganyika.
Nyerere, Mkapa, Kikwete , JPM walijua hilo hawakuwahi kufikiria. Walijua ni rasilimali na hazina za Watanganyika
Mwinyi aliuza Loliondo ''ujombani'' akiwa na Waziri Diria. Historia bwana!

JokaKuu Pascal Mayalla
Bandari ya zanzibar imeuzwa kwa wafaransa wiki tatu zilizopita lakini nyote humu mumeufyata kabisa!!!!!!
 
Usije kataa kuwa comment yako ina ukabila au udini kwa sababu nashangaa sana sana kuwa unapiga kelele juu ya bandari ya Dar kupewa waarabu (kama mnavyowaita) lakini hukupiga kelele wiki tatu zilizopita wafaransa walipopewa bandari ya zanzibar. Kama ulivyesema wewe mwenyewe bandari ni sehemu ya muungano sasa kwa nini wewe kama mtanzania huku uliza lolote? I bet hata hadi unasoma comment yangu hukujua kabisa kama bandari ya zanzibar wamepewa wafaransa, come on be honest!
Mi nadhani shida sio nani kupewa kuendesha ila ni aina ya makubaliano katika mambo yanayotunyima uwezo wa kujinasua au kutetea maslahi mapana ya nchi.
 
Mbowe kasema hayo kweli? Hivi hata hajui hata kinachoendelea zanzibat? Bandari ya zanzibar wameshapewa wafaransa wiki kama tatu zilizopita, nashangaa kuwa ACT zanzibar wamekuwa wanapiga makelele juu ya hili katika mikutan yaoo yote lakini Mbowe kama mwanasiasa hajui kinachoendelea katika medani ya siasa!!!!!
 
Kusema kweli, waziri yule anazingua. Mambo hayaendi kabisa.
By the way, zipi ndio wizara za muungano?

..Wizara za muungano ni Fedha, ulinzi, mambo ya nje, mambo ya ndani,..

..hati ya makubaliano ya muungano ndiyo inayobainisha mambo yapi ni ya muungano.
 
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.

Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?

Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Kweli mali za Tanganyika zinapigwa mnada hovyo na wageni tuwe makini!
 
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.

Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?

Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Bandari ya dar na mali ya muungano bandari ya Zanzibar sio ya muungano kama yalivyo madini ya dhahabu makaa ya mawe liganga sio ya muungani,mbalawa kuwa waziri sio kosa mbalawa kawa waziri tangu Kikwete kuna baadhi ya watu wanasema heti kawa waziri kipindi cha samia ujinga mtupu
 
Wazenjibia wanaiuza Tanganyika kwa waarabu hivi hivi,nchi ngumu sana hii
Kwadubai wameshinda tenda kama walivio shida wakati wa magu kuhusu bwawa la nyerere wamisri nao ni waarabu pia hata reli ya kisasa ni waturuki nao ni waarabu
 
Mzanzibari anakuwa raisi wa Tanganyika, anawaongoza watanganyika kwenye mambo ambayo hata siyo ya Muungano!. Ila kule Zenji Mtanganyika hawezi kugusa mambo ya wazenji.

Huu muungano ni jinamizi kwa Watanganyika!
Nenda muitongo Butiama kamwambie mchonga
 
Afadhali Mimi napeleka wanangu shule kwa mabasi ya njano. Sitaki wawe wajinga kama wadanganyika wengi
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amehoji kwanini Bandari za Zanzibar hazimo Kwenye Mkataba wa Dubai

Mbowe amesema kama Mkataba ni Mzuri mbona Bandari za Zanzibar hazimo?

Chanzo: Jambo TV

My take: Zanzibar ni nchi
Mboe hanajizima data bandari ya Zanzibar sio ya muungano hilo mbowe hana lijua tu mbona hata siku moja sijasikia akisema chama chake kikishinda atavunja muungano!!akili za kuambiwa
 
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.

Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?

Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Hata Katie mkuu ujenzi ni m Zanzibar
 
Back
Top Bottom