Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #121
Umelenga kusema nini ?Usije kataa kuwa comment yako ina ukabila au udini kwa sababu nashangaa sana sana kuwa unapiga kelele juu ya bandari ya Dar kupewa waarabu (kama mnavyowaita) lakini hukupiga kelele wiki tatu zilizopita wafaransa walipopewa bandari ya zanzibar. Kama ulivyesema wewe mwenyewe bandari ni sehemu ya muungano sasa kwa nini wewe kama mtanzania huku uliza lolote? I bet hata hadi unasoma comment yangu hukujua kabisa kama bandari ya zanzibar wamepewa wafaransa, come on be honest!