Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar
Kwa yanaendelea duniani hapa,aisee tusizae watoto wengi au tusizae kabisa.Kama tunaona na tunaumia bas kizazi chetu kitaumia na kuteseka zaidi.Hivi masuala ya mkataba wa bandari tumefikia wapi? Na kupambania watoto wa kiume kutambua thamani ya kuwa mwanaume tumefikia wapi? Ndoa kuogopwa Kwa sababu imegeuka machinjio tumefikia wapi?

NB:sijui labda nimewaza vibaya lakini kiuhalisia hali si shwari,Mungu atutetee!🙏
 
Kwa yanaendelea duniani hapa,aisee tusizae watoto wengi au tusizae kabisa.Kama tunaona na tunaumia bas kizazi chetu kitaumia na kuteseka zaidi.Hivi masuala ya mkataba wa bandari tumefikia wapi? Na kupambania watoto wa kiume kutambua thamani ya kuwa mwanaume tumefikia wapi? Ndoa kuogopwa Kwa sababu imegeuka machinjio tumefikia wapi?

NB:sijui labda nimewaza vibaya lakini kiuhalisia hali si shwari,Mungu atutetee![emoji120]
Hofu yako upo sawa, ni kweli dunia imefikia point hatari sana kwa wanaofikiri....ila claim ya kutokuzaa ni impractical!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20230611-080820_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom