Ngoja muwekewe Derby la simba yanga mtasahau yote
Ngoja mletewe matamasha ya wasani
Wazunguke mikoa yote mtasahau kila kitu
[emoji1]

Ova
Wanasemaga ipo remote ! Sasa kulikoni kwenye hili suala !! Wabongo ni wasahaulifu sana. !!
 
Na unaambiwa hii inchi ina wanausalama wa kimkakati wabobevu!!
KmaNyoKo##*
 
Una point sana ila umemaliza vibaya, eti Jiwe alikuwa na akili
 
mh!!!
 
Kusema kweli, waziri yule anazingua. Mambo hayaendi kabisa.
By the way, zipi ndio wizara za muungano?
 
kuna tanzaniaa na zanzibar... ila tanganyika haipoo tena! huu mkatabaa wa kifalaaa huyu mzanzibar mwenzao kaona ndugu zake wasiwepoo... sisi mazombi ya baraa ndo tuzagamuliwee na waarabu
Kesho waarabu wanalamba Bandari zetu kimasikhala
 
Mimi kama mtanganyika ninaona kabisa nchi yangu inawekwa rehani na mzanzibari ambaye ameamua kudidimiza upande wa bara kwa kuuza kitovu chetu cha uchumi na hakufanya hilo kwao.

Usalama wetu unawekwa rehani pia.

Ninadhani endapo jambo hili lingekuwa na manufaa basi bandari za Zanzibar zingehusishwa pia.

Ombi langu ni kuwa miradi hii ikafanyike Zanzibar, jengeni huko bandari kubwa kuliko zote duniani, sisi tuacheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…