Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #121
Umelenga kusema nini ?Usije kataa kuwa comment yako ina ukabila au udini kwa sababu nashangaa sana sana kuwa unapiga kelele juu ya bandari ya Dar kupewa waarabu (kama mnavyowaita) lakini hukupiga kelele wiki tatu zilizopita wafaransa walipopewa bandari ya zanzibar. Kama ulivyesema wewe mwenyewe bandari ni sehemu ya muungano sasa kwa nini wewe kama mtanzania huku uliza lolote? I bet hata hadi unasoma comment yangu hukujua kabisa kama bandari ya zanzibar wamepewa wafaransa, come on be honest!
kamlaumuni baba wenu wa taifa.Mzanzibari anakuwa raisi wa Tanganyika, anawaongoza watanganyika kwenye mambo ambayo hata siyo ya Muungano!. Ila kule Zenji Mtanganyika hawezi kugusa mambo ya wazenji.
Huu muungano ni jinamizi kwa Watanganyika!
mamaako ndoo ana uchungu wa kuzaaa. koma kumzushia mama yetu.Samia anauza Tanganyika Hana uchungu ,na huyo mbarawa
we hujui bara wanachuki na wazanzibar hasa kipindi hiki rais kutoka zanzibar.Hii issue ya utanganyika imeibuka ghafla....kulikoni?
Tumia akili kwenye mambo mazito kama haya. Acha utoto.Mbowe amemiss Segerea huyu si yuko kwenye maridhiano
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Swali la kijinga sana !Ikiuzwa inakuuma nn?
Haifai kupuuzwa kwa Kuwa katika hili Zanzibar yenyewe haikuguswa,Hivyo tunaachaje kuugusa Uzanzibari,kwani wao hawataki manufaa yanayohubiriwa,🤔Kuna upotoshaji mkubwa unafanywa na baadhi ya watu ili kuwaaminisha watanzania wanaohoji kuhusu mkataba wa bandari kuwa eti wanamsakama Mbarawa kwa sababu ni mzanzibar.
Wazanzibar na wa bara hawajawahi kuwa na tatizo hata siku kabla ya muungano na hata baada ya muungano ni vizuri wachambuzi wote tujikite kwenye vipengele vya mkataba na tusikubali kutolewa kwenye reli na kuingizwa kwenye mijadala ambayo haina kipimo.
Maswali muhimu
1. Mkataba utachukua muda gani
2. DP- World anakuja kuweza shilingi ngapi
3. Bunge linakwendaje kupitisha azimio ambalo tayari mkataba umeshasainiwa
4. DP- World wanapewa bandari yote au magati yaliyokuwa na TICTS.
5. Hatma ya wafanyakazi wa TPA itakuwaje
na maswali mengine yanayoulizwa ya kisheria.... tujikite kuyajibu hayo kuliko kuhamisha ajenda na mambo ya uzanzibar.
Kama Zanzibar ifanyavyo kutetea maslahi yake acheni na Tanganyika itetee maslahi yakeKuna upotoshaji mkubwa unafanywa na baadhi ya watu ili kuwaaminisha watanzania wanaohoji kuhusu mkataba wa bandari kuwa eti wanamsakama Mbarawa kwa sababu ni mzanzibar.
Wazanzibar na wa bara hawajawahi kuwa na tatizo hata siku kabla ya muungano na hata baada ya muungano ni vizuri wachambuzi wote tujikite kwenye vipengele vya mkataba na tusikubali kutolewa kwenye reli na kuingizwa kwenye mijadala ambayo haina kipimo.
Maswali muhimu
1. Mkataba utachukua muda gani
2. DP- World anakuja kuweza shilingi ngapi
3. Bunge linakwendaje kupitisha azimio ambalo tayari mkataba umeshasainiwa
4. DP- World wanapewa bandari yote au magati yaliyokuwa na TICTS.
5. Hatma ya wafanyakazi wa TPA itakuwaje
na maswali mengine yanayoulizwa ya kisheria.... tujikite kuyajibu hayo kuliko kuhamisha ajenda na mambo ya uzanzibar.
Kama mkataba huo una manufaa so ingekuwa vema na bandari ya Zanzibar iwemo?mashaka lazima yawepo maana wanauza bandari ya bars ya Zanzibar kwao hawauziHaifai kupuuzwa kwa Kuwa katika hili Zanzibar yenyewe haikuguswa,Hivyo tunaachaje kuugusa Uzanzibari,kwani wao hawataki manufaa yanayohubiriwa,🤔
Bila kuwakosea heshima, Wazanzibari siku zote huwa hawakubali maliasili zao ziguswe na Wabara, hutoa kauli za kibaguzi na kizalendo dhidi ya viashirio vyovyote wanavyohisi kugusa maslahi yao [rejea masuala la mafuta na geni ambayo awali yalikuwa ya Muungano lkn baada ya Zanzibar kugundua viashiria vya mafuta/gesi huko kwao.]Haifai kupuuzwa kwa Kuwa katika hili Zanzibar yenyewe haikuguswa,Hivyo tunaachaje kuugusa Uzanzibari,kwani wao hawataki manufaa yanayohubiriwa,[emoji848]
Uzanzibar ndiyo chanzo cha haya yote lazima ujadiliwe.Kuna upotoshaji mkubwa unafanywa na baadhi ya watu ili kuwaaminisha watanzania wanaohoji kuhusu mkataba wa bandari kuwa eti wanamsakama Mbarawa kwa sababu ni mzanzibar.