Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Tutatetema kama MayeleWatapiga kelele then watasahau... watarudi kumjadili Diamond na Zuchu sie tushapiga hela kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutatetema kama MayeleWatapiga kelele then watasahau... watarudi kumjadili Diamond na Zuchu sie tushapiga hela kama kawaida
Nipigwe virungu kwa ajili ya bandari? Kwani sasa ivi inanisaidia nini?IngekuA tuko serious tungeandamana ila hili taifa raia wana nyeg€ sana
Mbona Mbowe alimuuzia chama lowasa hukulalamika?Habari za Makandana
Yaan ingekua wazee wetu wa zamani wanasema hv hata uhuru tusingeupata kabsanipigwe virungu kwa ajili ya bandari? Kwani sasa ivi inanisaidia nini?
Siasa nyingine nyepesi ni huu uzi. Bandari ya Zanzibar ni ndogo sana kulinganisha na ile ya Dar. SSH ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anafanya kazi kwa niaba ya watanzania wote.Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Pia soma > Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
---
MAONI YA WADAU
Mbowe kaongea kutafuta mileage za kisiasa tu. Bandari ya Zanzibar utailinganisha vipi na hii ya Dar?.Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amehoji kwanini Bandari za Zanzibar hazimo Kwenye Mkataba wa Dubai
Mbowe amesema kama Mkataba ni Mzuri mbona Bandari za Zanzibar hazimo?
Chanzo: Jambo TV
My take: Zanzibar ni nchi
Baada ya kuuziwa huyo Lowassa yuko wapi sasa ?mbona mbowe alimuuzia chama lowasa hukulalamika?
Andiko limejaa umasikini mtupunipigwe virungu kwa ajili ya bandari? Kwani sasa ivi inanisaidia nini?
Mwacheni Mama Afanye KAZI YakeA huge miscalculation by SSH. Watanzania (watanganyika) wameibiwa sana kwa mgongo wa ubinafsishaji, yaani serikali inatumia matrilioni kuwekeza kwenye kitu alafu mwisho wa siku wahuni wachache wanapiga dili na kuuziwa kwa bei za kutupa.
Imetokea tena na tena na tena, ATCL, TTCL, TRC, NBC, mashamba ya serikali, nyumba za serikali, viwanda vya serikali na mengine mengi. Bado CCM haijifunzi tu??
Watu wanamlaumu JPM kuwa alikuwa katili lakini bwana yule alikuwa na akili za kutatua changamoto, akiona sehemu kuna mapungufu basi anaumiza kichwa kuona taitizo ni nini, watu? Mifumo? Sheria? Kisha anajaribu kutatua.
Hayo mengine ni yako wewe , sisi tumeandika uzi kuhabarisha umma wa Watanzania mipaka ya Waarabu kwenye uwekezaji wao baaaasiSiasa nyingine nyepesi ni huu uzi. Bandari ya Zanzibar ni ndogo sana kulinganisha na ile ya Dar. SSH ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anafanya kazi kwa niaba ya watanzania wote.
Chuki na ubaguzi unakuja kutokana na watu kulishwa matango pori na kuaminishwa kuwa wazanzibari hawana nia njema ya watu wa bara. Kitu ambacho ni uongo wa mchana kweupe.
Tunawasema wazenji ni wabaguzi, vipi kuhusu ubaguzi wetu sisi wenyewe huku bara?. Vipi kuhusu ubaguzi wa awamu ya tano wakati JPM alipoamua kwa makusudi kuwainua jamaa wa kabila lake?.
Kuwekeza ni mikakati ya miaka na miaka na huu wa DP World haukuanza na urais wa SSH ni kazi ya toka nyakati za JPM. Aliyeamua kujenga reli ya SGR kwa nguvu zake zote, ili kuongeza mzigo unaotoka na unaoingia nchini.Hayo mengine ni yako wewe , sisi tumeandika uzi kuhabarisha umma wa Watanzania mipaka ya Waarabu kwenye uwekezaji wao baaaasi
Huu ni utoto, Samia alikuja na sera ya kufungua nchi. Tulishangilia na kila aina yaa sifaKuwekeza ni mikakati ya miaka na miaka na huu wa DP World haukuanza na urais wa SSH ni kazi ya toka nyakati za JPM. Aliyeamua kujenga reli ya SGR kwa nguvu zake zote, ili kuongeza mzigo unaotoka na unaoingia nchini.
Kwanini SSH anakutana na matusi pamoja na ubaguzi wote huu?. Kaamua kuipambana vita ya kiuchumi kikamilifu.
Ni uelewa wa watu fulani wenye sera zenye chembe chembe za ubaguzi, hakuna kilicho back-fire hata kimoja.Huu ni utoto, Samia alikuja na sera ya kufungua nchi. Tulishangilia na kila aina yaa sifa
Akaenda Dubai mwaka Jana akasaini mikataba hii, tukashangilia na kusema raisi ndio huyu anayesafiri na kuleta wawekezaji sio Kama Magufuli ambae alikua hasafiri kabisa
Leo ime-backfire unataka kusema eti ilikuwepo muda mrefu. Mpeni Samia sifa zake kama mlivyompa kipindi anasafiri na kusaini mikataba
Mwisho kabisa kinacholalamikiwa zaidi ni terms za mkataba
Ingekua haijabackfire nguvu kubwa isingetumika hivi.Ni uelewa wa watu fulani wenye sera zenye chembe chembe za ubaguzi, hakuna kilicho back-fire hata kimoja.
Hizo terms za mikataba ndizo zinazokwenda kujadiliwa kuanzia muda huu, kama unayo mawazo yenye kulinda maslahi ya nchi usikubali ubakie nayo moyoni mwako kisha uende ukalalamike katika vijiwe vya maongezi ya jioni, huu ndio muda wa kuweka wazi hisia zote tulizonazo.
Sikulenga kitu nimeweka bayana kuwa wewe ni mbaguzi na mdini na mko wengi tu. Hamkupiga kelele bandari ya zanzibar walivyopewa wafarnsa lakini mnaanaza kutaja asili za mawaziri na raisi kana kwamba wao sio watanzania na hawana madaraka ya kufanya maamuzi yanahusu Tanzania. Dont get me wrong issue yote ya bandari inanuka uvunda lakini tatizo langu juu yako ni kuanza kulet mambo ya ukabila na udini. tuko mwaka 2023 na Tanzania bado kuna watu kama wewe ambao hamuoni watanzania wenzenu kama ni watanzania bila kujadili imani zao au wana asili ya pande gani wa tanzania.
Ni uelewa wa watu fulani wenye sera zenye chembe chembe za ubaguzi, hakuna kilicho back-fire hata kimoja.
Hizo terms za mikataba ndizo zinazokwenda kujadiliwa kuanzia muda huu, kama unayo mawazo yenye kulinda maslahi ya nchi usikubali ubakie nayo moyoni mwako kisha uende ukalalamike katika vijiwe vya maongezi ya jioni, huu ndio muda wa kuweka wazi hisia zote tulizonazo.
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Pia soma > Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
---
MAONI YA WA
Wanakusikia sasa hawa, naona mijadala mingi mtaani ni kombe last shirikisho kati ya Azam na Yanga, hamna mtu ana muda na bandari, so sad enough.Tanganyika tunafungwa minyororo ya utumwa kwa Mara nyingine why not Zanzibar? TunatakabTanganyika huru!Tanganyika huru no Sasa!!!!!!!!!!?watanganyika amkeni! amkeni!amkeni! Huko mliko acheni Mambo za kushangilia Simba na. Yanga,Tanganyika kwanza! Tanganyika ni kubwa kuliko Simba na Yanga,kwenye ubinafsishaji watanganyika hatujawahi kufanya vizuri,tukipigwa Sana,tuliibiwa saaana,rejea ubinafshaji wa NBC,TRC,RICHMOND,IPTL,,ATCL,TIPER,kote huko tukipigwa saan,Hawa viongozi Hawana uchungu na raslimali za nchi hii,wanafanya Mambo Kama wanajiandaaa kufa kesho,wasitegemee kuishi Tena kesho,Amkeni watanzanzania Sera za kukunana migongo zimeanza Tena Bora magufuli alizikataa AMKENIIII
Ukubwa wa kinachokwenda kufanyika. Mawanda ya biashara zinazotegemewa kuingiwa katika makubaliano ya pande zote mbili...Luhaga Mpina wa Ccm ametoa maelezo mazuri.
..Tundu Lissu wa Cdm ametoa ufafanuzi mzuri.
..Kilichopitishwa na bunge ni MSINGI wa hiyo mikataba itakayokuja kusainiwa.
..Kuna wanaosema mkataba kati ya DP na bandari utakuwa kama ule wa Ticts.
..Lakini mimi sikusikia Bunge likipitisha azimio la " kuruhusu " majadiliano kati ya bandari na Ticts. Naomba kusahihishwa.
..Maazimio ya Bunge huwa ni kwa masuala mazito kama mikataba ya East African Community, na SADC, si kwa masuala ya uwekezaji wa makampuni toka nchi za nje.
..Labda serikali ingetoa maelezo ya kina kwanini wanahitaji azimio la bunge ktk suala la uwekezaji bandarini.
..Kwanini wanahitaji hilo azimio, wakati huko nyuma hawakulihitaji?
..Mazingira hayo ndiyo yanayozua taharuki kwamba kuna jambo kubwa la kifisadi wamepanga dhidi ya bandari lakini hawako tayari kulieleza kwa wakati huu.