Mkataba unahusu bandari ya dar es salaam tu na SI vinginevyo. Fuatilia mijafala ya kibunge na hoja ya waziri
..azimio la bunge linasema kitu kingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba unahusu bandari ya dar es salaam tu na SI vinginevyo. Fuatilia mijafala ya kibunge na hoja ya waziri
Tatizo ni serikali kutokuwa wawazi.Ukubwa wa kinachokwenda kufanyika. Mawanda ya biashara zinazotegemewa kuingiwa katika makubaliano ya pande zote mbili...
Porojo hizo ni miaka nenda rudiUkubwa wa kinachokwenda kufanyika. Mawanda ya biashara zinazotegemewa kuingiwa katika makubaliano ya pande zote mbili...
Panua fikra zako usikariri maisha yaliyopita ukadhani ndio yatakuwa ya kesho.Porojo hizo ni miaka nenda rudi
Magufuli aliyempa ubunge kabisa na baadae akampa uwaziri wa mawasiliano na uchukuzi alifanya makosa?...Wizara ya Ujenzi si ya muungano.
..Mzanzibar ana haki ya kuongoza wizara za muungano, kama fedha, mambo ya ndani, etc.
..Mzanzibari hana haki ya kuongoza wizara au taasisi zisizo za muungano, kama wizara ya ujenzi, kilimo, afya, ..
..Kwa msingi huo, uteuzi wa Prof.Mbarawa kuongoza wizara isiyo ya muungano una makosa.
ndio tulivyodanganywa miaka yotePanua fikra zako usikariri maisha yaliyopita ukadhani ndio yatakuwa ya kesho.
..Magufuli hakukosea kumteua Prof.Mbarawa kuwa mbunge.Magufuli aliyempa ubunge kabisa na baadae akampa uwaziri wa mawasiliano na uchukuzi alifanya makosa?.
Philipo umelipwa bei gani ?Panua fikra zako usikariri maisha yaliyopita ukadhani ndio yatakuwa ya kesho.
Mwalimu Nyerere aliunganisha udongo wa nchi hizi mbili. Alitanguliza upendo zaidi hata hotuba zake zina msingi wa upendo...Magufuli hakukosea kumteua Prof.Mbarawa kuwa mbunge.
..lakini alikosea kumteua Mbarawa waziri ktk wizara isiyo ya muungano...
Moyo wa uzalendo tu mkuu Erythrocyte. Kwanini hii biashara ya DP World iende ikamfaidishe jirani Kenya au Msumbiji wakati kuna reli ya SGR imeshatandikwa ardhini kwa mabilioni ya pesa?.Philipo umelipwa bei gani ?
Hakuna anayekataa kuwa Tanganyika na Zanzibar tumeungana.Mwalimu Nyerere aliunganisha udongo wa nchi hizi mbili. Alitanguliza upendo zaidi hata hotuba zake zina msingi wa upendo...
Kuna umuhimu wakuwa na Serikali 3 , nakama Hilo haliwezekani basi tuwe na Serikali Moja, tuivunje Serikali ya Zanzibar natubakiwe na Serikali ya Tanzania tu.Mwalimu Nyerere aliunganisha udongo wa nchi hizi mbili. Alitanguliza upendo zaidi hata hotuba zake zina msingi wa upendo...
Kwahiyo talatibu unaanza kumkubali mwamba Magufuli.Sielewi viongozi wa sasa walilenga nini
Kama anayefanya kazi kwa kuzingatia weledi na asipewe kazi kwa uzanzibari au utanganyika wake. huu ndio ubaguzi wenyewe...hakuna anayekataa kuwa Tanganyika na Zanzibar tumeungana.
..lakini muungano wetu umebainisha mambo ambayo ni ya pamoja ya muungano, na mambo yasiyo ya muungano.
..kiongozi yeyote asiyezingatia kwamba haya ni ya muungano, na haya sio, anavunja sheria.
..Magufuli na Samia wamevunja sheria kwa kuteua Mzanzibari kuongoza wizara isiyo ya muungano.
Wauaji hawajawahi kukubaliwa popoteKwahiyo talatibu unaanza kumkubali mwamba Magufuli.
Kama anayefanya kazi kwa kuzingatia weledi na asipewe kazi kwa uzanzibari au utanganyika wake. huu ndio ubaguzi wenyewe.
Kwanini ujikite katika kumtazama mtu asili yake ni wapi?, Tanzania tumekuwa taifa lenye mtazamo finyu kiasi hiki?.
Nani anunue bandari ya wilaya ya Zanzibar au kata ya Pemba?Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Pia soma > Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
---
MAONI YA WADAU
Hakuna jipya lolote kwa serikali hii iliyojaa watendaji wale wale na wawekezaji ni wale wale.nafanya kazi kwa taasisi moja iliyobinafsishwa ukweli ni kwamba hakuna mwekezaji anayetaka kutupatia faida kubwa sisi.ni anatumia mbinu zote ku-declare faida kidogo kila siku na zaidi sana anaweka matumizi makuuubwa ambayo anafaidika yeye zaidi.Panua fikra zako usikariri maisha yaliyopita ukadhani ndio yatakuwa ya kesho.