Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

Uyo humuwez ndio yupo 'foolish age'...
 
For real[emoji849][emoji849][emoji849]

Hivi huu mda wa kufungua manyuzi kumi kumi mtu anaupata wapi?

Kibaya zaidi ukute ni mwanaume[emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]

Flabagasting!

Tutajuaje kama nyumbani kwake wanakula kwa kuzunguka meza...!!
 
Kumbuka hakuna aliyetaka kula mwenyewe au kubagua chakula(mboga) ila Mimi sizani uyo kijana kula uku kubonyeza simu yake kunamuathiri mtu yyte kwa njia yoyote ile mbali na kumuathiri yeye(kama kutokushiba) ivyo sioni tatzo zaidi ya Sheria za ajabu za mtoa mada.
NB:siwezi muwekea mtu Sheria ya kutokucheka kwasababu tu Mimi sipendi kucheka sababu anakaa kwangu ikiwa hainidhuru kwa chochote kile.
 
Ana vunja Amani ya uyo kijana kumchukia kisa kubonyeza simu muda wa kula
 
Huo ndiyo utaratibu

Kuna familia zingine ukizitembelea wanafanya sana hiyo

Siyo wenzangu na miye wakati wa kula kuna anayelia chakula chumbani mwingine analia chooni,mwingine analia varandani

Ova
 
Ana vunja Amani ya uyo kijana kumchukia kisa kubonyeza simu muda wa kula
Ukitaka cha uvunguni..... kila familia ina sheria zake. Kama hupendi unaanzisha yako. Kwangu huingii baada ya saa 2 usiku bila idhini yangu. Kama huwezi hama
 
Ukitaka cha uvunguni..... kila familia ina sheria zake. Kama hupendi unaanzisha yako. Kwangu huingii baada ya saa 2 usiku bila idhini yangu. Kama huwezi hama
Kama unaona naviolate Sheria zako nifukuze sio kuja kunisimanga simanga huo ukike
 
Kula pamoja

Muda maalum wa kuangalia TV

Muda maalum wa watoto kujisomea

Ova
 
Kijana wangu yupo ndani kila mtu anajilia kivyake,sa sita sawa sa kumi usiku sawa usile sawa kesho haya mradi liende tu.simshikii mtu fimbo akiumwa njaa atakula tu.
Na sie wengine tumekua hivyo kila mtu anakula muda anaotaka yeye chakula kinapikwa kinawekwa hapo labda kama kuna mgeni atakaribishwa 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…