Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Mnunulie chupa ya whisky, au wine safi. Hakuna mtu anaacha kufurahia zawadi kama hiyo labda awe mlokole au mwisilamu shehe ubwabwa wanaojionyeshaHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Kwahio ukienda mikono mitupu utafukuzwa?Kwa tanaduni zetu watu wa nyanda za juu kusini,
Ni mwiko kwenda kwa watu mikono mitupu.
Hata kama wewe ni bilionea, lazima nibebe chochote.
Na ukija kwetu, Lazima tukupe kitu, hata kama umeleta vikubwa kiasi gani
Hauondoki mikono mitupu .
Jibu sahihi hiliMnunulie kuku wa kienyeji kwa ajili ya supu
Sifukuzwi ila Ili furaha yangu ikamilike, lazima nibebe chochote.Kwahio ukienda mikono mitupu utafukuzwa?
Umeona eeh? Hata wenyeji watashangaa japo hawatasema chochoteKwa tanaduni zetu watu wa nyanda za juu kusini,
Ni mwiko kwenda kwa watu mikono mitupu.
Hata kama wewe ni bilionea, lazima nibebe chochote.
Na ukija kwetu, Lazima tukupe kitu, hata kama umeleta vikubwa kiasi gani
Hauondoki mikono mitupu .
Asante kwa mawazo bossAndika kwa kuchonga kwenye Kibao kizuri cha mbao (au tafuta wa taalamu wa sanaa hiyo) maneno haya 'muda huu utapita'.
Maneno hayo yana tumika kwenye hali mbili tofauti ambazo ni wakati wa furaha sana na wakati wa huzuni sana.
Umeona eeeh!!! Mi nakwenda kama nilivyo, na nikiondoka naomba nauliUnataka kuchota maji mtoni upeleke baharini?
Wewe nenda kajibebee kila kitu mahindi,kuku,mboga,yani beba usiache kitu unataka kujifanya na wewe unazo wewe umejinunulia kuku lini😒