Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Nimejibu swali mbona...Ulinipinga juu kule nilivyoleta swali sehemu ninayotakiwa kukujibu mkuu
Kwahiyo jibu swali uulize swali
Mimi namwamini Mungu ninayeweza kumprove kwa sayansi na personal experiences...Ninasoma bible ila na tafsiri kama kitabu kitabu kilichoandikwa kwa code ambazo naweza kuprove scientifically na logically...eg Adam na Hawa kwangu mimi ni Logic na emotion etcWewe chukua tu upande mmoja mkuu, usije ukapasuka msamba.
Mkuu pombe hutumii? Kma hutumii anza mazoezi hukuhuku duniani maana huko usije kunywa jagi moja tu tunakukuta umezima kando ya mto wa pombe. Utashindwa hata kuzichakata bikra 72 utakazogawiwa na mnyaziMi hakuna atayeniambia tofauti ili niwakose bikra zangu 72 peponi 😁
Huyu jamaa (mungu) ni mpenda sifa, mwenye wivu, anayependa kupewa matoleo na binadamu aliowaumba mwenyewe n.k.😅😅😅 kwa huyo utaka kusema jamaa yupoje?
Ok sawa mkuu.Mimi namwamini Mungu ninayeweza kumprove kwa sayansi na personal experiences...Ninasoma bible ila na tafsiri kama kitabu kitabu kilichoandikwa kwa code ambazo naweza kuprove scientifically na logically...eg Adam na Hawa kwangu mimi ni Logic na emotion etc
au Mungu katulia zake tu kauacha mzigo upo auto pilot , ni wajanja wachache wanajipigia tu🥲Huyu jamaa (mungu) ni mpenda sifa, mwenye wivu, anayependa kupewa matoleo na binadamu aliowaumba mwenyewe n.k.
kwa sifa hizi huyu mungu ni dhaifu maana kiumbe dhaifu hutafuta validation kwa viumbe wengine (hakiamini kama kinapendwa, kinauwezo n.k hadi kiaminishwe na wengine).
Kwa ni fix au😪Bikra ambazo ukitoa zinarudi tena kwamba wanatupanga auMi nimeamu kuwatafuta mabikra huku duniani mkuu. Nimegundua kule hakuna bikra hata mmoja.
Unaweza kukuta yeye ni mnyonge sana kuliko tunavyodhani.au Mungu katulia zake tu kauacha mzigo upo auto pilot , ni wajanja wachache wanajipigia tu🥲
Unakufuru ujue?Unaweza kukuta yeye ni mnyonge sana kuliko tunavyodhani.
Nitakwenda kutubu kwa wale wanaomkuza yeye aliye juu.Unakufuru ujue?
Mkuu kwa hiyo unamaanisha hakuna ulazima wakutaka kujua asili ya Mungu ili tumuamini? Kwamba tuamini tu yeye ndo kaumba inatosha au😅😅😅Sasa huoni hapo ndo moja ya hoja zenye utata? Watu wanataka kujua asili ya ulimwengu huu then jibu linakuja ni Mungu kaumba so lazima watu watake kujua kama yeye ndo chanzo then aliibukaje hadi kuwa alivyo akaumba ulimwengu huu wote?? Kama yeye hana chanzo/ mwanzo na mwisho kwanini huu ulimwengu pia usiwe hivyo?Mkuu hii dhana ya asili nimeijibu hapo juu
Nimeeleza juu ya kutokuwa na ulazma wa kutokujua asili ya kitu au mtu ili tuweze kuamini kama kina au ana uwezo wa kufanya kitu flani
Unakufuru ujue?
Inasemekana jamaa walishamalizana marinda mji mzima siyo mwanamke wala mwanaume alikuwa na marinda. Sasa walipoona mali mpya mjini walienda kuichangamkia na si wamasema malaika ni wazuri😁😁😁Ndo maana jamaa walienda kujaa kwa Lutu wawatafune malaika wa bwana.Watu wa sasa hvi mbona hawana show! Wewe unaongelea kumchana live? Kuna jamaa walitaka kuwapelekea moto malaika, mshkaji mmoja anaitwa Lutu akawaambia acheni usenge, kama shida yenu ni nyapu heri niwape mtoto wangu bikra mumle lakin sio hawa masela ambao ni wageni wangu...washkaji kijiji chote wakasema hatutak madem, watoe hao jamaa tuwatoe marinda...sasa kama unadhan akili za sasa hv zimeyumba🤔🤣
Mkuu Yesu mwenyewe watu walitaka kumjua yeye nini, anatokea wapi sijui wazazi hadi ukoo wake hata walihoji juu ya ufalme wake. Kwamba yeye ndo masihi au wasubiri mwingine.Me sijui mkuu
Ila Nina swal kwako kutokujua asili yake inaweza kupinga uwepo
Akiliwa na Simba je, atakuwa kaburini?Haya yote umeandika kwa manufaa ya nani?
Je wawepo au wasiwepo wewe unapungukiwa na nini?
Yote haya umeandika ili upate likes?
Kumbuka kaburini upo peke yako.
Mohamed aka Mo aka Muddy ni my role model. Sisi sote ni wapenda mikasi/ totozHao uliowatag ni watu waliopotoswa kupitia jamaa mmoja anaitwa mudy rafiki yake na Chizi Maarifa
Hii ni mada kamili nitakuja na mada inayofafanua hiliScience ya wapi hiyo, weka hapa tuone
Ila ni dhana isiyopatikana katika dini za Abrahamic Gods.Hiyo dhana ipo hata kabla ya Abrahamic god
Mawazo yako ya kijinga kama wahindu.Akiliwa na Simba je, atakuwa urini?