Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 175
Kwani Bendera ina faida gani?
Umeshasema akili yako haitaki kukubali halafu unaomba tukueleweshe. Sasa kama akili yako imeshakataa kukubali ukieleweshwa utaelewa?
Huko kijijini kwenu mwenge ulikuwa haupiti? Inawezekana kabisa umekuwa hai mpaka leo hii kutokana na mradi/miradi iliyotokana na mbio za mwenge.
Slaa ni rais anayeongoza kwenye mioyo ya watu, wakati Kikwete ni rais anayetawala kwenye mioyo ya NEC na Polisi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Utawadanganya wajinga mwenge hauna maana zaidi ya kusambaza ukimwi na ufisadi watu wanalazimwishwa kutoa michango inaliwa na mafisadi bila maelezo. Yaani hicho kizinga cha moto kisipopita hakuna mradi utafunguliwa ukiwa mfuasi wa CCM kutumia akili ni nadra sana pole kwa kutojitambua
Na mwimbo wa taifa una faida gani?
Na picha ya Rais ina faida gani?
Kama hauelewi kitu nyamaza.
Kweli Njaa Mbaya. Unajitoa ufahamu kwasababu ya "viroba" vya mtaa wa Ufipa, Kinondoni.
Heri kunywa viroba kuliko kuamini kizinga cha moto kuwa ndicho kinazindua miradi huo ni ujua na kutumika huku akili zako unaziacha unatumia za wauza unga wa lumumba hatdanganyiki wenye akili tunajua mwenge hauna maana ni ushirikina na ufisadi na usambazaji ukimwi kwa watu maskini wa vijijini wananchi kataeni upuuzi huu ni mradi wa mafisadi ya lumumba yanakusanya pesa nyingi hazina hesabu wala udhibiti kisha yanapitisha kizinga cha moto. Heri kunywa viroba kuliko kuwa kibaraka wa muuza unga na pembe za ndovu aibuKweli Njaa Mbaya. Unajitoa ufahamu kwasababu ya "viroba" vya mtaa wa Ufipa, Kinondoni.
Kweli Njaa Mbaya. Unajitoa ufahamu kwasababu ya "viroba" vya mtaa wa Ufipa, Kinondoni.
Kua mwana cccm hakumaanishi kua uunge mkono kila kitu, tena hata vya kijinga jaribu kuficha upumbavu wako wewe. Kama uwezo wako wa kufikiri upo hivi sijui hata famailia yako unaiongozaje. Tuwekee basi bajeti ya wimbo wa taifa.Na mwimbo wa taifa una faida gani?
Mwenge nikengo kingine cha ufujaji wa kodi za wananchi. Mwenge ni ufisadi mkubwa unaofanywa ndani ya nchi hii na chama cha MAJIZI YAANI CCM. Mwenge nisawa na ufisadi wa RICHMOND EPA MEREMETA KAGODA na ziara za JK.
Nakubaliana na wewe hiki kizinga hakina umuhimu huku tunduma walikuja kutaka hela eti kila mfanyabiashara atoe hela tumewahamasisha wasitoe hela ya mwenge maana hauna fada yoyote na tunaendelea na kampeni kubwa ya kuhakikisha kila mwananchi anajua ufisadi mkubwa unaofanywa na mijizi ya lumumba unalipa kodi bado yanakuja kutaka hela kwenye biashara yako eti yakimbize kizinga cha moto hizo ni akili au matope. Mwenge hajawahi kuwa na faida yoyote toka umeanza kukimbizwa na hautakuwa na umuhimu zaidi ya kuwa ushirikina wa CCM wananchi tuukatae hii ni mbinu nyingine ya ufisadi ili wanapochukua hela zetu tuseme zinatumika kumbizia kizinga cha moto mwenge ni majanga tuunganishe nguvu kuukataa
Kiukweli hapo umenena mkuu. Hebu fikiria mwenge unatumia mamilion then unakuja kukata utepe kwa mradi wa kuku hii ni akili matope.