Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?
Kwani Bendera ina faida gani?

Mwenge kazi kubwa ni kueneza ukimwi na kuhamasisha ufisadi kwa kulazimisha watu kutoa michango inayotumiks bila maelezo ni upuuzi hauna kazi yoyote zaidi ya ushirikina wa ccm wakiamini unawapumbaza watanzania waendelee kukiamini chama cha mafisadi na wauza unga na pembe za ndovu
 
Umeshasema akili yako haitaki kukubali halafu unaomba tukueleweshe. Sasa kama akili yako imeshakataa kukubali ukieleweshwa utaelewa?

Huko kijijini kwenu mwenge ulikuwa haupiti? Inawezekana kabisa umekuwa hai mpaka leo hii kutokana na mradi/miradi iliyotokana na mbio za mwenge.

Utawadanganya wajinga mwenge hauna maana zaidi ya kusambaza ukimwi na ufisadi watu wanalazimwishwa kutoa michango inaliwa na mafisadi bila maelezo. Yaani hicho kizinga cha moto kisipopita hakuna mradi utafunguliwa ukiwa mfuasi wa CCM kutumia akili ni nadra sana pole kwa kutojitambua
 
Slaa ni rais anayeongoza kwenye mioyo ya watu, wakati Kikwete ni rais anayetawala kwenye mioyo ya NEC na Polisi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Rais wa mioyo ya watu ni Rais wa wapi huyo?! Anatambuliwa kikatiba au ndiyo terminology mnayoitumia ili kuwaibia wananchi hela zao kwenye mikutano bubu yenu?
 
Utawadanganya wajinga mwenge hauna maana zaidi ya kusambaza ukimwi na ufisadi watu wanalazimwishwa kutoa michango inaliwa na mafisadi bila maelezo. Yaani hicho kizinga cha moto kisipopita hakuna mradi utafunguliwa ukiwa mfuasi wa CCM kutumia akili ni nadra sana pole kwa kutojitambua

Kweli Njaa Mbaya. Unajitoa ufahamu kwasababu ya "viroba" vya mtaa wa Ufipa, Kinondoni.
 
Last edited by a moderator:
Na picha ya Rais ina faida gani?

Kweli we ndio mana ukaitwa Ze marcopolo think capacity negative zero. Ulishawahi kuona wimbo wa taifa au bendera ya taifa au picha zikilingizia taifa garama ya mabilioni kwa kukimbizwa nchi nzima? Au ndio nape amekukurupua usingizini? Mwenge hauna faida kwa taifa letu zaidi yakuendelea kuwaletea wananchi umaskin na maradhi.
 
Kweli Njaa Mbaya. Unajitoa ufahamu kwasababu ya "viroba" vya mtaa wa Ufipa, Kinondoni.

mbona wajitoa ufahamu mwenyewe...mwenge una heshma yake ktk hstoria ya nchi yetu...ila kwa sasa mimi nahata wewe naamini utakuwa wajiuliza nini hasa heshma ya mwenge huo iwapo unakusanya watu na kuwamuulikia wakeshao kwa rusharoho na wazinifu..hvi hii kweli ndio nia hasa ya kukmbiza mwenge? kumbuka maneno ya mwlm juu ya mwenge na linganisha kinachotokea sasa...lini umewah kutangaziwa bajeti ya kukmbza mwenge ni kias gani na matumiz yake? nivyema uwekwe makumbusho ya taifa..hko heshma yake italindwa. tafakari..
 
Last edited by a moderator:
Kweli Njaa Mbaya. Unajitoa ufahamu kwasababu ya "viroba" vya mtaa wa Ufipa, Kinondoni.
Heri kunywa viroba kuliko kuamini kizinga cha moto kuwa ndicho kinazindua miradi huo ni ujua na kutumika huku akili zako unaziacha unatumia za wauza unga wa lumumba hatdanganyiki wenye akili tunajua mwenge hauna maana ni ushirikina na ufisadi na usambazaji ukimwi kwa watu maskini wa vijijini wananchi kataeni upuuzi huu ni mradi wa mafisadi ya lumumba yanakusanya pesa nyingi hazina hesabu wala udhibiti kisha yanapitisha kizinga cha moto. Heri kunywa viroba kuliko kuwa kibaraka wa muuza unga na pembe za ndovu aibu
 
Last edited by a moderator:
Kweli Njaa Mbaya. Unajitoa ufahamu kwasababu ya "viroba" vya mtaa wa Ufipa, Kinondoni.

Mwenge nikengo kingine cha ufujaji wa kodi za wananchi. Mwenge ni ufisadi mkubwa unaofanywa ndani ya nchi hii na chama cha MAJIZI YAANI CCM. Mwenge nisawa na ufisadi wa RICHMOND EPA MEREMETA KAGODA na ziara za JK.
 
Last edited by a moderator:
Na mwimbo wa taifa una faida gani?
Kua mwana cccm hakumaanishi kua uunge mkono kila kitu, tena hata vya kijinga jaribu kuficha upumbavu wako wewe. Kama uwezo wako wa kufikiri upo hivi sijui hata famailia yako unaiongozaje. Tuwekee basi bajeti ya wimbo wa taifa.
 
Mwenge nikengo kingine cha ufujaji wa kodi za wananchi. Mwenge ni ufisadi mkubwa unaofanywa ndani ya nchi hii na chama cha MAJIZI YAANI CCM. Mwenge nisawa na ufisadi wa RICHMOND EPA MEREMETA KAGODA na ziara za JK.

Nakubaliana na wewe hiki kizinga hakina umuhimu huku tunduma walikuja kutaka hela eti kila mfanyabiashara atoe hela tumewahamasisha wasitoe hela ya mwenge maana hauna fada yoyote na tunaendelea na kampeni kubwa ya kuhakikisha kila mwananchi anajua ufisadi mkubwa unaofanywa na mijizi ya lumumba unalipa kodi bado yanakuja kutaka hela kwenye biashara yako eti yakimbize kizinga cha moto hizo ni akili au matope. Mwenge hajawahi kuwa na faida yoyote toka umeanza kukimbizwa na hautakuwa na umuhimu zaidi ya kuwa ushirikina wa CCM wananchi tuukatae hii ni mbinu nyingine ya ufisadi ili wanapochukua hela zetu tuseme zinatumika kumbizia kizinga cha moto mwenge ni majanga tuunganishe nguvu kuukataa
 
Kiukweli hapo umenena mkuu. Hebu fikiria mwenge unatumia mamilion then unakuja kukata utepe kwa mradi wa kuku hii ni akili matope.
 
Kiukweli hapo umenena mkuu. Hebu fikiria mwenge unatumia mamilion then unakuja kukata utepe kwa mradi wa kuku hii ni akili matope.

Ndugu yangu wote wenye uelewa tusaidie wenzetu kukataa upuuzi wa CCM, hebu fikiria mnachangishwa hela mnajenga vyumba vya madarasa kishwa mnachangishwa hela kizinga cha moto kije eti kuzindua hivyo vyumba vya madarasa unaendeleza unyonyaji wa kuchangisha hela huku mwananchi tayari keshalipa kodi bado achangie mbio za kizinga cha moto tusikubali acheni wale ambao wamekataa kutumia akili waendelee kuamini hiki kizinga cha moto. Kama kinasaidia kwani kina miaka mingapi kinakimbizwa mbona umaskini unazidi kwa wananchi?
 
Watanzania tusiishie kulalamika majukwaani tu....haitusaidii saana,we go front and ask wahusika maana kulalamika chinichini na tena kwawatu ambao majibu hawana kama wewe ulieanzisha mada na wachangiaji wengine ni kupiga tu kelele!!!Better kuandika mapendekezo kwa vyombo husika ya kwamba mbio za mwenge hazina faida zaidi ya hasara ukiambatanisha na report ya research na shahidi hapo utakuwa umefanya la maana
 
MMM hongera sana kwa mada ambayo haichakai.

Mwenge ni kielelezo kikubwa na hai cha mradi hewa (vague and pointless project) kama ilivyo mingine mingi hewa huko CCM.

Jaribu tu kulinganisha gharama (fedha na muda) vs matokeo. Watu wazima ni wanenda kuzindua bomba hewa la maji ambalo halitakaa lipitishe maji safi ya kunywa, wanazindua majengo (zahanati, shule, vituo nk) ambavyo vina nyufa na kila ufisadi na mara nyingi kwa ngono na ulevi mwingine wa anasa.

No hatuuhitaji mwenge, na kama ni dhana ya kupambana na maovu kama rushwa nk basi hii sio njia pekee teule kufikisha ujumbe kama huo. Inatosha ushirikina na kafara zilizokwisha tolewa kwa propaganda hii.
 
Hivi ni kwa namna gani au njia zipi CCM walifanikiwa kuwadanganya watanzania wengi (sio wote) kwa muda mrefu kiasi hiki na hii kitu ya mwenge?
 
mkuu kilimanjaro nimekubali sana maneno yako...nashindwa kuelewa ikiwa elimu imewakomboa watanzania au ndiyo inatukandamiza hasa pale ninapomuona msomi anautetea mwenge!!!
 
Wana jf hivi huu moto bado unaendelea kuzungushwa tu katika nchi hii! Pamoja na kupigiwa kelele bungeni pamoja na wazalendo kuwa hauna faida yoyote kwani utakuta gharama inayotumika kuuzungusha ni kubwa kuliko miradi inazinduliwa, mbaya zaidi baadhi wanatumia fursa hii ya moto kwa ajili ya kungonoka. Ok baada ya miaka mingi kupita leo kwa mara nyingine naushuhudia huu moto ukipiga kambi hapa wilayani mbalali katika kata ya ubaruku (samahani kwa wahusika wa maeneo haya kama nitakuwa nimekosea kuyaandika majina haya) mbaya zaidi kati ya wanakamati ya mapokezi ananidokeza kuwa amepewa jukumu la kusambaza kondom katka kila chumba cha wakeni hawa. Hofu yangu je wanaztumia kweli na hapa kwenye hili eneo la tukio kuna banda kubwa la msd (medical store department) wanagawa kondom. Watanzani wenzangu tuupinge kwa nguvu zote huu moto hauna tija kwetu. Naomba kuwasilisha.
 
Hakuna haja ya kuendelea kukimbiza moto katika mikoa na wilaya kwa sababu ni hasara 100%
 
Back
Top Bottom