Mwenge hauna lolote la maana, ule ni ushirikina tu
 
Kwa gharama hizi zilivyo kubwa na tulivyo na umaskini huu, sina shaka hata wenzetu wanatucheka sana. Hili la Mwenge liloshapitwa na wakati kitambo sana, ni kama suala la kuhamia Dodoma.
 
Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
Wakishalegea watatibiwa nanin mbona mahosipital dawa hazipo? Kukaa lumumba yataka moyo
 
B 400 inatosha kujenga daraja mto Magara,kutengeneza barabara kiwango cha lami Mbulu hadi Mbuyu wa mjerumani, Karatu-Mbulu hadi Singida na zahanati 10
 
hata ukizuiliwa bado watu mtalalama tu.
oooh kulikua kuna watu wamejiajiri kupitia mbio za mwenge. na mambo mengine kedekede

Waswahili sisi tuna jema.
Mwenge hauajiri ila wanateuliwa watu 7 tu,wote makada,tutakukagua rinda wewe
 
Nyie ndio wenye akili mgando.

Mnashibikia kodi zetu kutumia hovyo hivyo.

Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
 
hili ni jipu la zamani - watu wanapiga sana dili humo - Mh JPM mulika hapa
 
kama sio mwenge si ungekuta Taifa limeangukia kwa waovu wa UKAWA......Mwenge ndio umewamulika mpaka wakashindwa uchaguzi.....la sivyo nchi ingeangamia hii
wewe si ulihamia ukawa na Lowasa, aliposhindwa kwa njama za Lubuvua na ccm, ukarudi CCM mwaka jana? wewe ni mchumia tumbo wala huelewi unachokitaka! Ulipoona Ukawa hakuna uchumia tumbo, ni mwendo wa kujitolea ukaamua kurejea huko ccm labda unaweza kukumbukwa! bahati mbaya hakuna anayekuamini tena! Pambaf!!
 
I doubt kama ulisoma comment yangu yote maana this is contrary to what I wrote.

Anyway sanasana uliyoyaandika yanathibitisha kwanini mwenge unaonekana auna tija; kwa sababu serikari imekadhana na mbio za mwenge kwa uelewa wao tu, badala ya kutumia nguvu nyingi kuwaelimisha wananchi na ukuupa national significance.

"To make something special, you got to make people believe its special first" Kung Fu Panda.
 
Milad inyozindua sizan kama inafika b. 9 nawaza watengeneze mwenge wa solar manake cal me je atutumiiii kibatari tena.
Wanavyo Jidai kuwa mafuta ya mwenge sio Petro wala disel wala mafuta ya taa, mwenge unatumia mafuta pekee yenye ubora wake, bilioni kazaa tu mafuta
 
Mdiyo tunguri la CCM lile,baba Daudi usitegemee kwamba anaweza kuukataza.
 
Labda wamechanganya na zile za wabunge wa CCM aka gamba la nyoka.
 
Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
Hiki kibatari kiwamulike mabashite wote nchini.

Huwa sipatagi picha midume mizima iko bize kukimbiza moto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…