Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?
Wadau sina uhakika kama lilishawahi kujadiliwa hapa,
Ni kuhusu mbio za Mwenge kwa miaka hii ziendelee kuwepo na kama ziendelee faida ya hizi mbio ni nini?
Kwangu mimi sioni faida zaidi ya hasara kwa kutumia mapesa mengi kwenye hizi mbio,na badala yake hizo pesa zingekuwa zinapelekwa kwenye huduma za kijamii.Kila mwaka mbio zina kuja na kauli mbiu tofauti, ushauri wangu ni kuwa pengine hizi mbio zingekuwa zinakimbizwa kila baada ya miaka mitatu(unaweza kupendekeza yako), hivyo zinapokuja na kauli mbiu fulani basi ndani ya kipindi hicho cha miaka mitatu wahaha kishe inatekelezwa,hivyo unapokuja kuwashwa tena tuelezwa ile kauli mbiu ya miaka 3 iliyopta vipi imetekelezwa,na sasa kali yetu moya ni hii.

Naomba kuwasilisha
 
mimi sioni umuhimu wake. Nadhani ni bora zingefutwa tu. Na ziwekwe kwenye makumbusho kama slaa alivyokuwa akihubiri.
 
kama kuna mambo ambayo tunapaswa kuyakataa ni kuamini ya kuwa mwenge wa uhuru unao uwezo wa kuyamulika maovu kwenye jamii na kuyakemea.........kama sisi tulioutengeneza huo mwenge kazi hizo zimetushinda yawaje.....................kiumbe kisicho na uwezo wa kuongea au kutembea au kuona kiweze kufanya hiyo miujiza..................kila mahali mwenge uendako unahitaji kubebwa na wale ambao wamekiri kero zetu zimewashinda na wapo kwenye nafasi zao serikalini kula tu.......................au niseme kutumikia matumbo yao pekee yake................ambayo ndiyo wanayoyaabudu?

ndiyo maana kila mwenge uendako raia wengi huendelea na shughuli zao za kutafuta lishe........na kuwaachia wapumbavu ndani ya serikali kuendelea kujidanganya ya kuwa mwenge ambao ni mfu kuwa ndiyo suluhishi ya matatizo yetu................................magari yenye nambari za sth, pt, dfp....n.k........na su za hapa na pale huwa yanaukimbiza mwenge..............huku polisi wakionyesha ya kuwa hii "takataka" ndiyo kipaumbele chetu kwa kuzuia magari barabarani yasiendelee na shughuli za ujenzi wa taifa..........kupisha sanamu ipite.......huku wabunge wakilitukuza Bunge ambalo linawapatia ulaji uliokithiri kuwa saawia na Muumba yaani nalo Bunge ni TUKUFU kama Mwenyezi Mungu.............................hatuna kiongozi ndani ya serikali ambaye anaweza kusimama kidete na kukemea ufujaji wa mali za umma ambao tuliigia kutoka kwa wachina.................wao siku hizi sioni wakiukimbiza mwenge ila wanafukuzia dola za mmarekani na mali ghafi kutoka kwa wazubaifu kama sisi.......................

Nijuavyo mwenge ni kiini macho chakutufanya tusahau kero zetu na akina nani ndiyo wamezisababisha na ya kuwa kamwe mwenge hauwezi kuwa mkombozi wa mtanzania ila nijuacho tuendelee kuwaacha wafu wazike wafu wenzao kupitia hii aibu ya kitaifa...................
 
Wazo muafaka. Mwenge ni mojawapo ya national symbols kama ilivyo kwa bendera ya taifa na wimbo wa taifa. National symbols zo zote zile huwa zinalisaidia dola kutawala, kudhibiti, kupumbaza na hata kukandamiza watawaliwa. As long as tuna dola, ni lazima hizo symbols ziwepo. Baadhi ya symbols zina maudhi na hasara na nyingine zipo tu hazipunguzi wala kumwongezea hasara mwananchi wa kawaida. Mwenge ni mojawapo ya symbols zenye maudhi na hasara na kero kama ulivyoainisha vizuri. Tunachoweza kufanya ni iwapo "wenyenchi" watakubali kuwepo na mchakato huru wa kubadilisha katiba, hapana budi tukubaliane juu ya symbols za taifa zisizowaletea kero wananchi ndio zibaki kutambuliwa. Mwenge ukatwe kabisa na kuwekwa kwenye makumbusho ya taifa!!
 
usemavyo ni kweli hivi ni lini tulikaa na kukubaliana na "national symbols"?..............
 
kama kuna mambo ambayo tunapaswa kuyakataa ni kuamini ya kuwa mwenge wa uhuru unao uwezo wa kuyamulika maovu kwenye jamii na kuyakemea...
hata kama Mwenge ungekuwa na uwezo wa kumulika kama wanavyotaka tuamini, sisi wenyewe timefumba macho... hayo maovu tutayaonaje?
 
Kama utakumbuka kwenye kinyanyiro cha kugombea uraisi mwaka 1995 Augustino Lyatonga Mrema alisema kama atapata ridhaa ya kuwa raisi atapiga marufuku mbio za mwenge kwakua zimepitwa na wakati! Halafu kwenye kinyanyiro kingine cha uchaguzi mwaka jana Dr. Wilbrod Slaa naye hakuwa nyuma kwakusema kama atapata ridhaa hiyohiyo ya kuliongoza taifa hili naye ataufungia mwenge huo ikulu au kwenye kumbukumbu ya maonyesho ya taifa. Natumaini sio hawa tu wenye kupinga zana hii potofu iliyopitwa na wakati sijui kuna nini kwenye Mwenge huu wanaodai eti umulike walanguzi/Mafisadi wakati ndio wahusika wakuu wenye kulifilisi hili taifa.
 
kama kuna mambo ambayo tunapaswa kuyakataa ni kuamini ya kuwa mwenge wa uhuru unao uwezo wa kuyamulika maovu kwenye jamii na kuyakemea.........kama sisi tulioutengeneza huo mwenge kazi hizo zimetushinda yawaje.....................kiumbe kisicho na uwezo wa kuongea au kutembea au kuona kiweze kufanya hiyo miujiza..................kila mahali mwenge uendako unahitaji kubebwa na wale ambao wamekiri kero zetu zimewashinda na wapo kwenye nafasi zao serikalini kula tu.......................au niseme kutumikia matumbo yao pekee yake................ambayo ndiyo wanayoyaabudu?

ndiyo maana kila mwenge uendako raia wengi huendelea na shughuli zao za kutafuta lishe........na kuwaachia wapumbavu ndani ya serikali kuendelea kujidanganya ya kuwa mwenge ambao ni mfu kuwa ndiyo suluhishi ya matatizo yetu................................magari yenye nambari za sth, pt, dfp....n.k........na su za hapa na pale huwa yanaukimbiza mwenge..............huku polisi wakionyesha ya kuwa hii "takataka" ndiyo kipaumbele chetu kwa kuzuia magari barabarani yasiendelee na shughuli za ujenzi wa taifa..........kupisha sanamu ipite.......huku wabunge wakilitukuza Bunge ambalo linawapatia ulaji uliokithiri kuwa saawia na Muumba yaani nalo Bunge ni TUKUFU kama Mwenyezi Mungu.............................hatuna kiongozi ndani ya serikali ambaye anaweza kusimama kidete na kukemea ufujaji wa mali za umma ambao tuliigia kutoka kwa wachina.................wao siku hizi sioni wakiukimbiza mwenge ila wanafukuzia dola za mmarekani na mali ghafi kutoka kwa wazubaifu kama sisi.......................

Nijuavyo mwenge ni kiini macho chakutufanya tusahau kero zetu na akina nani ndiyo wamezisababisha na ya kuwa kamwe mwenge hauwezi kuwa mkombozi wa mtanzania ila nijuacho tuendelee kuwaacha wafu wazike wafu wenzao kupitia hii aibu ya kitaifa...................

sisi tumekwisha uwasha mwenge
tumekwisha uwasha mwengeeeee
na kuuweka juu ya mlima, mlima kilimanjarooooo
umulike hata nje ya mipaka yetu ulete TUMAINI
pale ambapo hakuna MATUMAINI,
UPENDO mahali ambako pana CHUKI na
HESHIMA ambapo pamejaa DHARAU.
kama hujawahi kuimba huu wimbo,, basi hata uzalendo kwa nchi yako unatia shaka.....
natumaini wewe ni mmoja wa wale wasomi wetu wa sasa........ ambao sifa zao(zenu) zinajulikana
 
Jana mwenge wa Uhuru uliwashwa jijin mwanza,huku kauli mbiu ikiwa MIAKA HAMSINI YA UHURU,TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE,mimi nakumbuka miaka ya 80 wakat nikiwa mwanafunz wa shule ya msing mbio za mwenge zilikua na tija na hamasa sana,
lakin ni tofaut na sasa,nachojiuliza kwa sasa mwenge wa uhuru una nafas gani?na je upo chini ya serikali au CHAMA?
 
Mkuu; of course kumulika mafisadi na wengine wenye tabia kama hiyo!
 
Zamani nikiwa kijijini tulichangishwa mchango wa mafuta ya mwenge. Nikauliza kwani mwenge si ni KOROBOI KUBWA? LIKIPITA LINAMMULIKA NANI? JAMANI MWENGE SIO NI LI SHETANI LINALOCHOCHEA NGONO NA UFISADI? TAFADHALI ANAYEJUA FAIDA YA NWENGE ANIJUZE!
 
Jamani kuna umuhimu wa mwenge wa uhuru kipindi hiki?je kuna kauli mbiu yoyote ya mwenge iliyofanikiwa? Je mwenge wa uhuru ni kwa manufaa ya nani?
 
Mwenge wa uhuni huo. fuatilia mikesha ya mwenge vijijini, ngono zembe, ulevi kwenda mbele. ghalama ze kuukimbiza zinazidi ghalama za dawa ktk hospitali zote nchini. Stupidity, ni uhuru gani tunatafuta miaka 50.
 
Back
Top Bottom