ZENJIBARIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 674
- 1,621
watu wa bukoba wamekejeliwa na michango yao kutiwa kwapani huku watu wanalipia kuabudu moto kwa sherehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu acha wakatwe tu maana wamezubaha sanaHauna faida yoyote bali kuwaonea wafanyakazi wa Serikali hasa walimu ambao nchi nzima wanakatwa pesa zao chungu nzima tena bila ridhaa yao eti kwa mafuta ya mengi. Ni wizi mtupu wa mabilioni ya pesa za walipa kodi na kwa kujua kumejaa wizi kwenye pesa hizo hawataki CAG azikague.
Hivi kwanini kwenye mikesha ya mwenge uwa wanagawa kondomuMwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
vice versa is trueanaeuchukia mwenge atakua mchawi
Mkuu hapo hakuna faida..ni uzandiki tuu wa miafrika. Ni aibu kungangania vitu visivyokuwa na maana na kuacha kufanya vitu vya maana. Mwenge ni kati vitu vya kipuuzi ambavyo serikali hii ya ccm inavitumia kuwaibia watanzania, ni miradi ya wanaccm. Bahati mbaya hata wananchi wenyewe hawafahamu hilo. Can you imagine ni kiasi gani cha fedha zinatumika kugharimia huo upuuzi. Je hizo fedha na rasilimali zisingetumiaka katika miradi ya maendeleo, mfano ni hospitali ngapi zingepata dawa na wananchi wangapi wangetibiwa..the list is endless.....Habari wadau!
Leo Makamu wa rais Zanziber kazindua mbio za mwenge wa uhuru wakiwa na kauli mbiu ya maendeleo ya Viwanda.
Naomba anaye fahamu umuhimu wa kukimbiza mwenge na matumizi ya zaidi ya bilioni 400.
Nini faida yake?
Halafu bajeti ya wizara ya viwanda na biashara haifiki bilioni 100. Ukistajaabu ya mwenge utayasikia maigizo ya kubana matumizi