Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
op-out of the pointhiv kikwete unaujasiri gani katika taifa lililofikia hapa polisi wanaua raia, raia wameanza kuua polisi, waislamu wanachoma makanisa. Leo hii kikwete unasema tunaumoja na utulivu. Hiv rais huoni shida kusema kuna amani na utulivu? Zanzibar wamechoma makanisa wakristo tumenyamaza hiv waislamu wako juu ya sheria?
Inasikitisha sana kuona tanzania aliyoiacha mwalimu nyerere imeharibiwa na uongozi uliopo madarakani kwa kuendekeza ushabiki wa kidini na tangu kuingia madarakani viongozi wengi umewaweka waislamu.
Wakristo tuendelee kumwomba mungu atende ili taifa hili likombolewe mikononi mwa wadhalimu ccm ili tuachane na chama hiki ambacho nimeamini ndo chenye kuleta mgawanyiko kati ya wenye nacho na wasio nacho, wakristo na waislamu. Na ndiyo maana leo kuna shule za wenye pesa na wasio na pesa.
Si kodi tu baadhi ya halmashauri hukata mishahara ya watumishi kuchangai mbio za mwenge!! wakurugenzi huwa mnapata ridhaa ya muwakatao??wastage ya pesa ya kodi zetu, ni upuuzi mtupu!