Wangapi wanalipa Kodi. Tozo ndio suluhu Kwa wakwepa Kodi. Ni sawa na Simba kumvizia nyumbu kwenye bwawa la maji. Nchi zingine watu hujisikia fahari kulipa Kodi. Tofauti na watu wa ufipa. Wafanyakazi wanakatwa Kodi lakini utakuta jitu kubwa Zima Lina mihela na majumba Kila mtaa lakini tin number halina
Una uhakika Magufuri alibana matumizi?This is Magufurilistic...
"Kwa kuwa pesa hizi zitaipunguzia mapato serikali, Waziri ameelekeza Serikali ianze kubana matumizi yake mfano kwenye vikao, ...
Mwigulu hakuhusika peke yake, baraza lote lilihusikaHuu ni ushahidi mwingine huyu bogus huwa anakurupuka
Atajua wenyeweMwigulu hakuhusika peke yake, baraza lote lilihusika
Yaani Kuingiza CCM kwenye hili la kutoa ama kupunguza tozo ni unjingaa kabsaa. Maana kwa mtu mwenye akili ninani aliingiza hizi tozo?KAZI nzuri ya CCM. Imesikia kilio hiki. Tozo sio tatizo lakini shida Ilikuwa ni kiwango Cha tozo.
Hakuna nchi duniani inaweza kuhudumia watu wake bila kulipa Kodi na tozo zinazostahili. Hata kama ni chadema(japo waameishiwa hoja) wakibahatika kupata serikali labda kuanzia miaka ya 2150 watatoza tozo.
Nimpongeze sana bwana nchemba Kwa kusikia kilio hiki na maelekezo ya CCM.
Stupid, unamsamehe mtu kwa kuwa ulikuwa unaniibia? Rubbish. Serikali inawaibia watu halafu mnasema kuwa mmetusamehe kutuibia!-Kusamehe tozo ya miamala kwenye utoaji wa fedha taslimu kupitia wakala wa benk na ATM kwa miamala yenye thamani isiyozidi shilingi 30,000.
Tengeneza tatizo, tatua. Watu wakupigie makofiNi jambo jema
Stupid, unaniibia halafu unasema nimekusamehe kukuibia! Mlaaniwe na mfe nyote mwende kwa JiweAnasemaje!?
hahahahaHapo mnatuhadaaa sawa na Konyagi uiweke kwenye chupa ya Mo energy ulevi ni ule ule.
Tengeneza tatizo halafu tatua. Wajinga watakupigia makofi wakiamini unawajali sana. Tuna kizazi cha kijinga sanaKAZI nzuri ya CCM. Imesikia kilio hiki. Tozo sio tatizo lakini shida Ilikuwa ni kiwango Cha tozo.
Hakuna nchi duniani inaweza kuhudumia watu wake bila kulipa Kodi na tozo zinazostahili. Hata kama ni chadema(japo waameishiwa hoja) wakibahatika kupata serikali labda kuanzia miaka ya 2150 watatoza tozo.
Nimpongeze sana bwana nchemba Kwa kusikia kilio hiki na maelekezo ya CCM.
Maybe divide and ruleAmna cha maana hapo wanatengeneza tatizo afu badae wanatatua tatizo ndio nini sasa
Kuweka viwango vya tozo ni yeye Mwigulu peke yake alihusika na ndiyo sababu yeye mwenyewe anapunguza viwango.Mwigulu hakuhusika peke yake, baraza lote lilihusika