Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
I said it
 
sasa rais kwanini alisaini? huwa anasaini bila kusoma?

ccm ni failed political party
 
Sisi tunaamini utafiti na pilots zinapoteza muda na kutuchelewesha.
Mambo yatajipa tu.

Amandla....
 
Tumsaidiaje ikiwa alisaini mwenyewe?
 
Walifikiri kwa kiwango cha chini sana, hii tozo ya miamiala inaonesha ni namna gani wanatafuta kodi hata ambazo si rafiki kwa mlipaji.

Hii leo nimetimiza siku 6 bila kutuma pesa kwa njia ya simu.
 
Watu wengi hasa watanzania hawajui tofauti ya Economics and Finance. Uchumi sio finance, profesion ya Finance hajulikani vzr hivyo watu hupelekea kuwapa wizara ya fedha watu wa uchumi ambao hawana utaalamu kabisa kwenye mambo ya finance...
True ila hoja inakuja je hawana hao watu chini yao kuwashauri?

Au ndio Yale Yale ya kutosikiliza ushauri?

Kama hawana watu wa finance chini yao basi hatuna serikali
 
Bado swali langu ni imekuwaje alisaini huo muswada?
 
Wewe ni mpumbavu😂😂😂
 
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Kikao cha Waziri Mkuu hakitasaidia kitu. Suala hili ni la wataalam na sio wanasiasa. Na wataalam hao wasiwe wanasiasa.

Anandla...
 
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba....
 
Kumbe Wananchi wanauelewa Mpana wa Masuala ya KODI kuliko Mawaziri Wananchi ndio Wamegundua kuwa KODI hii MBAYA
Nilisema CCM wanatengeneza Tatizo

Tatizo sio TOZO wizara na BOT jaribu kuwaondoa WATU WA KATI katika miamala wanaochukua PERCENT ndio wanaofanya TOZO ziwe kubwa.

Cc mwigulu nchemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…