Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I said itMhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
sasa rais kwanini alisaini? huwa anasaini bila kusoma?Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Sisi tunaamini utafiti na pilots zinapoteza muda na kutuchelewesha.Yaani Lameck Madelu(Mwigulu) ndio Mchumi Daraja la kwanza halafu anafanya mambo bila kufanya utafiti wa kina , kitendo walichofanya kuongeza gharama(tozo) kimeshusha transactions kwa kiwango kikubwa sana na hata wakirudisha kama mwanzo bado ile effect yake itaendelea kwa muda!! Wenzetu kabla hawajaingiza kitu live huwa wanafanya tafiti za kina na pilots kwanza za kutosha.
Tumsaidiaje ikiwa alisaini mwenyewe?Na bado! Tumsaidie Mama kuondoa uozo wote:
Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...www.jamiiforums.com
Nchi ni yetu waliyo nayo ni dhamana tu.
Walifikiri kwa kiwango cha chini sana, hii tozo ya miamiala inaonesha ni namna gani wanatafuta kodi hata ambazo si rafiki kwa mlipaji.Yaani Lameck Madelu(Mwigulu) ndio Mchumi Daraja la kwanza halafu anafanya mambo bila kufanya utafiti wa kina , kitendo walichofanya kuongeza gharama(tozo) kimeshusha transactions kwa kiwango kikubwa sana na hata wakirudisha kama mwanzo bado ile effect yake itaendelea kwa muda!! Wenzetu kabla hawajaingiza kitu live huwa wanafanya tafiti za kina na pilots kwanza za kutosha.
Waziri mshamba sanaMheshimiwa waziri[emoji116]CCM kuchukua madaraka ya hii nchi ni tulipigwa pakubwa sana.
View attachment 1859372
True ila hoja inakuja je hawana hao watu chini yao kuwashauri?Watu wengi hasa watanzania hawajui tofauti ya Economics and Finance. Uchumi sio finance, profesion ya Finance hajulikani vzr hivyo watu hupelekea kuwapa wizara ya fedha watu wa uchumi ambao hawana utaalamu kabisa kwenye mambo ya finance...
Bado swali langu ni imekuwaje alisaini huo muswada?Tumsaidie Mama kuisafisha hii nchi. Inawezekana kuwa hahusiki na fyongo nyingi za hawa jamaa:
View attachment 1859377
Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...www.jamiiforums.com
NB: It's not done until it's done!
Wewe ni mpumbavu😂😂😂Tumsaidie Mama kuisafisha hii nchi. Inawezekana kuwa hahusiki na fyongo nyingi za hawa jamaa:
View attachment 1859377
Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...www.jamiiforums.com
NB: It's not done until it's done!
Kikao cha Waziri Mkuu hakitasaidia kitu. Suala hili ni la wataalam na sio wanasiasa. Na wataalam hao wasiwe wanasiasa.Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba....
Nilisema CCM wanatengeneza TatizoKumbe Wananchi wanauelewa Mpana wa Masuala ya KODI kuliko Mawaziri Wananchi ndio Wamegundua kuwa KODI hii MBAYA